Kwani hawa walishawahi kutafuta wachumba Jf? Na umejuaje kama wanawake!!Wakowapi masingo maza konki wa JF? Wapi To yeye, Unique Flower , Deborah9007, FaizaFoxy na wanazi wengine waliokuwa wanona wanaukomoa usichana?
Laifu izi mazafaka aisee
........one among the best in April, big up!!.....Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.
Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.
Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga umo, halafu utegemee in future utaolewa kirahisi.
Hawa waoaji, wanazunguka kupata file lako kabla.
Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.
Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
Mkuu wangu ipo hiviNdoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.
Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.
Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga umo, halafu utegemee in future utaolewa kirahisi.
Hawa waoaji, wanazunguka kupata file lako kabla.
Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.
Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
Nichangie nini, sijasoma uzi 😂🤸♂️Mkuu wangu ipo hivi
Siyo mahusiano yote huwa toxic kwa sababu ya wanawake.
Sisi wsnaume most times ni kichefuchefu kwenye mahusiano.
Nadhani hao wa 34+ ni waelewa na wanajua nini maana ya mahusiano. Labda wachache ambao wamegoma kukua na kubadilika.
Ndoa ni matokeo ya TRUST projection baina ya wawili na siyo KUENDANA. Kama trust ina walakini bora usiingie kwenye ndoa kwa sababu ndoa siyo chuo cha mabadiliko bali ni kasri la utawala na maongozi.
Tusiwazonge mno hawa wadada wanaopambania pendo la nafsi zao kwani upweke ni maradhi ujue.
Ngoja niwaite wajumbe wachangie hoja
To yeye
Depal
Demi
Lulu michael dronedrake Rushayna Deborah9007 Equation x
Kwani ni lazima sana hawa wasichana na wanawake waolewe au ni vile tu jamii yetu na mazoea yake..Ndoa ni majaaliwa, na kikubwa zaidi ni kujiandaa tangu ukiwa msichana kuwa mke wa fulani.
Kipindi cha usichana ni kipindi cha kuonesha tabia njema sana kama kweli unataka kuwa mke wa mtu.
Sio kwenye mapombe umo, kwenye madisko umo, kwenye ma Beach party umo, kwenye kuchoropoa mimba na kudanga umo, halafu utegemee in future utaolewa kirahisi.
Hawa waoaji, wanazunguka kupata file lako kabla.
Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.
Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
Na huu ndo ukweli, ni sahihi ndoa ni majaliwa ila sasa ndo usiwe mama huruma kila mtu ajipigie tuuu wengine wanaliwa kwa shida ndogo ndogo na tamaa, sawa bikra zimekua adimu ila swala la kuoa kiumbe kina body count zaidi ya 5 mmh! Ndo mtu unajiuliza una mikosi gan hupati mme akati zaidi ya mtu 10 zishakumwagia ndan huo tu mkosi tosha! Umeshindwa kutunza bikra body count matters aisee, mwanamke makini ata kama hana bikra mpaka anaolewa amekua na wananume wawili mwisho watatu coz kila anapokua na mtu anaweka malengo huyo ndo wa mwisho!!Ndoa ni maandalizi ya tangu usichana wako, sio unafika miaka 30 umetumika weeee, umezalishwa huko, halafu ndio uanze kutafuta mume.
Msichana tunza usichana wako, tabia yako njema ndio ufunguo wa ndoa yako
Mtu wa miaka 34 anakuwa ameshachezewa Sana hafai kuolewaNa huu ndo ukweli, ni sahihi ndoa ni majaliwa ila sasa ndo usiwe mama huruma kila mtu ajipigie tuuu wengine wanaliwa kwa shida ndogo ndogo na tamaa, sawa bikra zimekua adimu ila swala la kuoa kiumbe kina body count zaidi ya 5 mmh! Ndo mtu unajiuliza una mikosi gan hupati mme akati zaidi ya mtu 10 zishakumwagia ndan huo tu mkosi tosha! Umeshindwa kutunza bikra body count matters aisee, mwanamke makini ata kama hana bikra mpaka anaolewa amekua na wananume wawili mwisho watatu coz kila anapokua na mtu anaweka malengo huyo ndo wa mwisho!!
⁰ISawa shangazi, tumesikia
Siku hizi kanyau kako mbona nakapenda sana tu hadi nakaota usiku😅🤣😅😅😃😃😃 Huyu nyau nampenda ananiwakilisha vemaaa,Kama ww huyo wa kwenye avatar yko anavyokuwakilisha 😂😂😂😂
mie team nyeto, nitoe hapo chapMkuu wangu ipo hivi
Siyo mahusiano yote huwa toxic kwa sababu ya wanawake.
Sisi wsnaume most times ni kichefuchefu kwenye mahusiano.
Nadhani hao wa 34+ ni waelewa na wanajua nini maana ya mahusiano. Labda wachache ambao wamegoma kukua na kubadilika.
Ndoa ni matokeo ya TRUST projection baina ya wawili na siyo KUENDANA. Kama trust ina walakini bora usiingie kwenye ndoa kwa sababu ndoa siyo chuo cha mabadiliko bali ni kasri la utawala na maongozi.
Tusiwazonge mno hawa wadada wanaopambania pendo la nafsi zao kwani upweke ni maradhi ujue.
Ngoja niwaite wajumbe wachangie hoja
To yeye
Depal
Demi
Lulu michael dronedrake Rushayna Deborah9007 Equation x
Ngumu sana kibongobongo, labda aolewe akiwa na miaka 20mwanamke makini ata kama hana bikra mpaka anaolewa amekua na wananume wawili mwisho watatu
Naomba namba yake tafadhaliUmeongea iliyo kweli kabisa, kuna dada nimemsomea makusudi amefyonza huyo na kusema kila mtu na maisha yake.
Kajaribisha vingi sana aiseeMtu wa miaka 34 anakuwa ameshachezewa Sana hafai kuolewa
Mama pakaNdio nataka nilikemee ,ili lisinizoeee kijingajinga