Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu


Vitabu vinasema wanadamu wote ni dhaifu, ila Mwanamke ana upungufu wa ajili. Hili ndio unalotakiwa kulichukua.
 
Kama una ushahidi kwanini usichukue hatua??
Hii kulia lia na kulaani wanawake haikusaidii kitu.

Mwenzio ashakua hatua kwa kumuheshimu kidume mwingine, wewe kama huchukui hatua unaishia kulia na kulalamika basi hapo tatizo ni wewe sio yeye.

Si ajabu yeye anasubiri wewe umwambia sasa kwisha, ila bahati mbaya wewe unalialia tu. Basi anakua hana jinsi zaidi ya kuendelea kukuchora.
 
Ndoa ni ngumu sana hasa ukipata mwenza akili kisoda aiseee kila rangi utaijua.kuna jamaa alisema humu jf wanawake wengi ni vichaa ila ukichaa wake huwezi ujua mpaka ukae nae.
Wanaume tunapigika kimawazo mpaka tunakufa na sehem ya kwenda kutoa hasira na majuto huna unabaki kuungua ndani kwa ndani mamaaee ndoa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
 
Wajinga pekee ndio watakubaliana na wewe.
Hebu waeleze historia ya wazazi wako ili wajifunze kwao. Je walikuzaa uchochoroni kwa bahati mbaya au walikuwa na ndoa?
 
Na hata ikitokea bado haiondoi ukweli kwamba kwenye jamii zetu bado kuna wanawake bora na kwamba bado kuna ndoa imara na bora zaidi zisizopitia hizo changamoto.

And your experience is based on What? Very stupid comment, hata mke wangu ni mwema sana mbele zawatu na nikizungumza ujinga wake Hakuna atakayeamini!

Kama mimi na wewe tutafikia conclusion kwamba mke ni Msaliti, huo uzuri wa wanawake wewe unautoa wapi?
 
Nilikua na mwanamke wa udogo wangu mpaka namuoa, Kuna mwaka nilisafiri, niliporudi siku nasex nae akaniambia" ila nawe huko chini kikubwa" ...nikajua oooh,ashaona zingine huyu.
Kuna mapimbi huamini kuoa Ke Bikra ni suluhisho la kutosalitwa milele katika ndoa, ongea pole pole wasikusikie 🤭

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Isitoshe hata sasa kuna Wahuni wanajipimia tu oili kiulaaaini na Kwa Mumeo unamkazia fuvu, ila sababu ni motivation speaker na keyboard warrior kwa fake ID ni vigumu kujulikana hapa JF.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Isitoshe hata sasa kuna Wahuni wanajipimia tu oili kiulaaaini na Kwa Mumeo unamkazia fuvu, ila sababu ni motivation speaker na keyboard warrior kwa fake ID ni vigumu kujulikana hapa JF.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
Una kitu personal na mimi? This is second time nimenotice.

Ningesema na mimi nafanya umalaya ungeridhika? Haya nafanya karibu…..
 
Ushaya tyevenga tayari karibu ktk chama cha kataa ndoa ni utapeli 😂😂
 
Hao vibungo mnawaokotaga wapi??
Ndio shida ya kuoa kwa kutazama trako mnasahau tabia…Na hapo kinachokuuma ile “Imechomoka halafu anairudishia” 😹😹😹

Mpe talaka uje unioe nikuonjeshe pepo ya dunia 😜
 
Una kitu personal na mimi? This is second time nimenotice.

Ningesema na mimi nafanya umalaya ungeridhika? Haya nafanya karibu…..
Nilikuwa najaribu kupata attention yako kisaikolojia kumbe ni kweli kabisa 75% Ke huwa ni viumbe vinavyojijengeaga vinyongo rohoni bila hata sababu za misingi, nilishatoka huko kitambo sana, just relax na enjoy your life moment Mpendwa maana huwezijua huenda ni classmates wangu, tunaishi kitaa kimoja au tunafanya kazi pamoja 😅

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…