Ndoa ni ngumu sana, asikudanganye mtu

Mimi nimeoa ki-old school na naishi kwa furaha sana, na nimeoa mtoto aliyekulia town:

1. I'm the one who make rules ndani ya nyumba. Siyo kwamba nina udikteta! Hapana. Ila nikiamua jambo ndo litafanyika ivoivo.

2. I'm the one providing daily bread. Mke anakaa home na kutekeleza majukumu yake, nami natekeleza yangu.

3. Mimi ni "I dont give a https://jamii.app/JFUserGuide" man. Anajua kabisa sina masihara wala utani juu ya nonsense yoyote atakayoleta. Alishawahi kutingisha kiberiti lkn alikizima mwenyeweee.

Shida ya vijana wa siku hizi mnaleteana mazoea ya kwenye chupi mpaka ndoani. Ndoa ni all about responsibilities. Kuna muda wa kukaza na kuna muda wa kulegeza. Always mwanamke ni mtu legelege, nawe mwanaume ulibweteka umeisha.
 
Sehemu gani kwenye maandiko pameandikwa kwamba "mwanamke ni kiumbe DHAIFU"? I wish na mimi nipasome hapo
 
Wewe bwana umejichanganya kuoa kambale unataka kila mtu aone ndoa mbaya! Pambana na hali yako wengine tunakula maisha na ndoa zetu miaka na miaka hakuna shida
 
Kama sio watoto,hakuna mwanaume angependa kuendelea kwenye ndoa
Sio kweli.
Sisi kwetu watoto wote tumeondoka wamebaki baba na mama tu. Na kati ya vitu baba hataki ni mama kusafiri na kukaa muda mrefu mbali na nyumbani.
Mimi na wife pia hatuna watoto lakini nafurahia mchango wa wife kwenye maisha yangu.
 
Tumeshasema sana ukikuta mwanamke sio bikra ujue ni malaya. Kama utaamua kumuoa muoe at your own risk

Ndoa haibadilishi tabia ya mwanamke malaya eti atulie never. Malaya ni malaya

Learn or perish
 
Dhumuni la ndoa ni kulinda masilahi ya mwanamke ndio maana mwanaume anashurutishwa kutimiza wajibu wake lakini kwa mwanamke kutimiza wajibu wake ni hiyali yake.

Unapooa maana yake umefanya risk ya kukabidhi maisha yako mikononi mwa mwanamke
Sio kweli.
Kuna ndoa, wote mwanamke na mwanamume wanafanya kazi na wanarudi nyumbani wamechoka.
Mwanaume anaoga anakaa kuangalia taarifa ya habari huku akisubiri chakula, mwanamke anaingia jikoni kuhangaika kuandaa chakula.
Hapo nani anafaidika na ndoa?.
Ukikosea kuoa ukaoa slay queen ndio utapata taabu.
 
Daa!! Pole sana bro, inaonekana ulioa very evil woman.
Lakini lazima ukubali sio kila mwanamke ni evil.
Pia wapo wanaume ambao ni evil, wanasababisha maumivu makubwa kwa familia zao.
 
Wewe bwana umejichanganya kuoa kambale unataka kila mtu aone ndoa mbaya! Pambana na hali yako wengine tunakula maisha na ndoa zetu miaka na miaka hakuna shida
Ndoa inaweza kubadilika anytime na ukashangaa. Kuna watu wameishi 30 years kwenye ndoa na wamekuja kuachana
Kabla hujafa ukiwa kwenye ndoa usijiite shujaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…