Ndoa ni upuuzi: Mke wa mtu anasema ananipenda Sana

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.

Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?

Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
 
Wengi wao siyo waaminifu Kwa wenza wao
 
Inasikitisha Sana.
 
1. Mke wa mtu amekupenda.

2. Ndoa ni upuuzi.

Halafu Prof. Mkenda kaongeza tahasusi kibao za dini badala aongeze za Logic na Critical Thinking. Elimu yetu ina matatizo makubwa sana maana haiwawezeshi vijana wetu kufikiri sawasawa. Wewe umekutana na malaya mmoja aliyeingia kwenye ndoa kimakosa tayari umekimbilia kuhitimisha kijumla na kushambulia taasisi nzima ya ndoa. Na kwa nini unajiweka katika mazingira ya kupendwa na mke wa mtu? Why??? Ukija kuuwawa au kufanyiwa mambo ya kinyama na huyo mumewe utanlaumu nani?

Ndoa ni taasisi takatifu iliyoanzishwa na Mungu mwenyewe na ndiyo msingi imara wa kujenga familia bora na jamii yenye future nzuri na maadili mema. Siku nyingine kabla hujafanya haya mahitimisho ya kukurupuka, hakikisha una representative sample.
 
Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.

Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?

Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
hey,
mwanaume,

hebu maliza hiyo mambo wachana na maelezo mengi.
Binadamu tunategemeana gentleman, hebu ondoa hiyo sense of perfections kichwani mwako 🐒
 
Back
Top Bottom