Martrix_32
JF-Expert Member
- Dec 1, 2025
- 1,025
- 2,058
duuh, inasikitisha sana,.....
uaminifu kwenye ndoa unaporomoka kila leo !
uaminifu kwenye ndoa unaporomoka kila leo !
ni mshamba huyu jamaa technicallyNa wewe ukaamini "ANAKUPENDA SANA"We bado hujawajua wanawake
Sana!ni mshamba huyu jamaa technically
Kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!Gee nakulavu bana acha zako basi mupenzi..!! 😹
😹😹😹Kupaka mafuta kwa mgongo wa chupa!
Bongo maslaughter ni kifungo cha maishaMume wake akikuua, sio murder case, ni manslaughter. Haendi jela zaidi ya miaka mitatu.
Acha kujitoa ufahamu na Kutafuta umaarufu, sijawahi tongoza mke wa mtu akanikataa.Sema hivi umekutana na Malaya mwenye ndoa!
Any person who commits the felony of manslaughter is liable to imprisonment for life.Bongo maslaughter ni kifungo cha maisha
Murder ni kifo
Kama hujawahi kuitwa moja kwa moja, basi tambua hapo kaburi linakuita moja kwa moja bila chenga chengaNdoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Kuwa makini muda sio mrefu utapigwa msipa ..ohhooo!!!Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Dah mpaka leo upo wakalaDuh mpaka leo upo mtoa huduma za uwakala? Yuko wapi rafiki yako Lara 1
Wakala wa nini mkuu karanga🤷🏽♀️Dah mpaka leo upo wakala