Niwaheri
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 3,676
- 5,895
sioni kosa lake moyo hauna limitNdoa sio upuuzi, ila baadhinya wana ndoa. Kama mke wa mtu amekuambia hivyo haimaanishi wake za watu wote ako hivyo
sioni kosa lake moyo hauna limitNdoa sio upuuzi, ila baadhinya wana ndoa. Kama mke wa mtu amekuambia hivyo haimaanishi wake za watu wote ako hivyo
kwelUpuuzi ni huyo mwanamke sio ndoa.
tusanue,jf sihamiKwasababu ni ndoa za kulelea watoto, kila mmoja ana mpenzi wake nje.
Sijaona popote kwenye Neno lake Mungu kasema ndoa ni za kulelea watoto!
Ndoa ilikuwa na kazi moja na ndo kazi pekee haifanyiki kwenye hizi ndoa, yanafanyika mengine! !
ukiwa umetuliza akili unaipata,mimi siku zote huwa najali mtu ananijali ikiwa mwanaume hatowajibika kwenye nafasi yangu na mimi nafanya yanayonihusuShida sio ku cheat je utapata furaha?
Ni kweli but inategemea kama yalijengwa juu ya Mwamba(PENDO la Kristo Yesu) au juu ya mchanga(Tamaa)Mapenzi pia yanaweza kuisha.
Ni kweli but inategemea kama yalijengwa juu ya Mwamba(PENDO la Kristo Yesu) au juu ya mchanga(Tamaa)Mapenzi pia yanaweza kuisha.
Sasa leo nakujibu kijana kama nilivyokuahidi jana iko hivi:Nimesoma btn the lines.
- Watu weng wanakaa kwenye ndoa na hakuna mapenzi.
- wanawake % kubwa wanakupendea vitu unavyomiliki.
ni kama % imezidi uwiano.
Ndoa nying haziko hivi.
Ukiangalia ndoa kwa negativity utaona nying zinavunjika.
Ila hebu siku angalia pia upande wa pili. Ni nyumba ngap zimesimama na ndoa imara.
Hebu hapo unapokaa. Angalia majiran. Hesabu 10 . Angalia ndoa ngap zimevunjika.
Angalia ndugu kaka dada zako. Hesabu walioolewa 10. Alaf hesabu wangap ndoa zimevunjika.
% utakayopata. Ndio Inalandana na uhalisia.
Hakuna cha kujengwa juu ya mwamba, mchanga au mnazi. Mapenzi ni hisia za kibinadamu zinazosababishwa na sababu nyingi sana nyingine za kueleweka na nyingine zisizoeleweka, huanza popote, kwa yoyote, yanaweza kudumu milele/ mpaka kifo na yanaweza yakaisha pia.Ni kweli but inategemea kama yalijengwa juu ya Mwamba(PENDO la Kristo Yesu) au juu ya mchanga(Tamaa)
Nakubali , Nina salam zako zipo pm utazikutaMarahaba!
SawaNdoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Sio vibaya kujifariji but kwa ushauri tu,jambo kama haujariexperience usiwe mwepesi wa kukanusha, jambo jipya masikioni mwako likisemwa tulia tafakari sio kubisha kichwa kichwa eti kwa sababu haujawahi kulishushudia in person!. Busara kuuliza ili kujifunza zaidiHakuna cha kujengwa juu ya mwamba, mchanga au mnazi. Mapenzi ni hisia za kibinadamu zinazosababishwa na sababu nyingi sana nyingine za kueleweka na nyingine zisizoeleweka, huanza popote, kwa yoyote, yanaweza kudumu milele/ mpaka kifo na yanaweza yakaisha pia.
We nionyeshe wapi kwenye Biblia imesema mkizaa watoto hamna kuachana.tusanue,jf sihami

Siku hizi angalau ndio kuna kupendana na ndoa bila kuangalia sana mambo ya material status. Zamani ndoa ilikuwa inaangalia zaidi hali za familia za uchumi, magonjwa, uchapakazi, siasa na kabila. Hata hivyo bado familia nyingi tu bado zinaangalia hali ya uchumi na dini za muoaji au muolewaji.Sasa leo nakujibu kijana kama nilivyokuahidi jana iko hivi:
Kwanza ujue mimi ni ke ninachokiongea nakijua mala nyingi wanaume huoa kwa mapenzi kampenda binti ana m approach then ndoa inafata
Mwanamke yeye hua anasubiri mwanaume aseme anaweza akawa amesubiri weeee yule anaemtaka akakosa ukija wewe sasa atakachoangalia ni uchumi wako
Ni kweli hana hisia kwako ila akagundua umempenda upo vizuri kiuchumi anakubari kuolewa
Na naomba nieleweke sio kwa kila mwanamke ni baadhi ila walio wengi saivi ni nadra sana kuolewa na mwanaume asie na kitu kisa anampenda ni wachache wanaojitambua ambao hawatumii kigezo cha uchumi na hawa ni wale wanaojua kutafuta pesa wenyewe ndio wenye ego ya kuchagua
Na kuna wale wanaolewq kwa shinikizo la wazazi anaona it's ok nisiwakwaze
Sasa mwanamke wa hivi kumpenda mwanaume mwingine sio ajabu maana alieanae sio choice yake
Lakini kwa mwanamme mjanja na alie makini atajua tu huyu ananipenda mimi au vitu vyangu
Yes zamani ilizidi kuchaguliana unaambiwa utaolewa na mtoto wa fulaniSiku hizi angalau ndio kuna kupendana na ndoa bila kuangalia sana mambo ya material status. Zamani ndoa ilikuwa inaangalia zaidi hali za familia za uchumi, magonjwa, uchapakazi, siasa na kabila. Hata hivyo bado familia nyingi tu bado zinaangalia hali ya uchumi na dini za muoaji au muolewaji.
What are you doing??We nionyeshe wapi kwenye Biblia imesema mkizaa watoto hamna kuachana.
Sheria inasema ukilala na asiye mume wako / mke wako uuawe. Kwani Mungu hakujua kuna watoto watabaki bila mama / baba.
Yesu akasema hakuna kutoa talaka unless amezini. Hakujua kuna watoto watalelewa na nyumba mbili.
That is how serious Mungu anachukulia uaminifu.
Marriage is for purity. Yani ukioa ukiolewa maana yae hutaki uchafu. Hutaki uongo. Hutaki ukosefu wa haki. Hutaki mauzauza. Yani umenyooka.
Ndomaana hata mausiano yetu na Mungu anayaita Ndoa. Actually ndoa ni reflection ya mahusiano ya mtu na Mungu. Ukitaka kujua mtu yukoje na Mungu wake muangalie na ndoa yake.
1) Mungu Analiita kanisa bibi harusi.
2) Waisraeli walikuwa wakiasi anawaita malaya
"Wakati wa utawala wa mfalme Yosia, Mwenyezi-Mungu aliniambia hivi: “Je, umeona jinsi Israeli asiye mwaminifu alivyofanya? Aliniacha, akapanda juu ya kila kilima kirefu na kwenda chini ya kila mti wenye majani mabichi, akafanya ukahaba wake humo!"
Yeremia.3.6.BHND
3) Ukiabudu miungu mingine / sanamu anasema umezini
"Watu wangu huomba shauri kutoka kwa mti; kijiti chao cha ramli ndicho kinachowapa kauli. Nia ya kufanya uzinzi imewapotosha; wamefanya uzinzi kwa kufuata miungu mingine, wakaniacha mimi Mungu wao."
Hoses.4.12.BHND
4) Anasema akija kutufanya wapya tutamuita Mume wetu
“Katika siku ile,” asema Bwana, “utaniita mimi ‘Mume wangu’; hutaniita tena mimi ‘Bwana wangu."
Hosea.2.16.NENO
Ndoa hizi za kizazi cha mwiso ni mbovu kwasababu mahusiano ya watu wa Mungu ni mabovu, ndomana na kizazi chao ni kiovu!
Kama Mungu anakuona ni malaya sembuse mumeo / mkeo! ! !
Ndoa hizi ni mask za Halloween, kuficha mambo ya kutisha.
Kwa nini unaleta story na mambo ya Wayahudi kwa Wabongo??We nionyeshe wapi kwenye Biblia imesema mkizaa watoto hamna kuachana.

Wewe ni binadamu mwenye akili na utashi au ni Sokwe uliyechangamka?Kwa nini unaleta story na mambo ya Wayahudi kwa Wabongo??
N vp ten mkuu!Sema hivi umekutana na Malaya mwenye ndoa!
Wewe dada unafaa kuwa kungwi la gen ZPolee yake mume wake 😢
Kitu hujui watu wengi wanakaa kwenye ndoa na hakuna mapenzi
Tena wanawake asilimia kubwa anakupendea vitu unavyomiliki
Anaishi na wewe anajua hatalala njaa na utamjua tu kwa matendo yake