Ooh, sawasawaSasa Mkuu ushasema mtu hana muda wa kufikiria, huu ni uzembe unaoweza kumletea madhara hata yeye pia.
Kwasababu anaweza kufikiria kuja kufanya ubaya akiwa amebeba panga halafu wewe ukajihami kwa bastola. Hapo unadhani risk inakuwa upande wa nani?
Sa si unaona?
Kumbe ni tatizo ambalo amelitengeneza mwanzoni kwa kutokuwa na muda wa kufikiria
NakaziaSema hivi umekutana na Malaya mwenye ndoa!
Kwa nini amuue? Amefanya kosa gani la kuuwawa? Mapenzi kuisha na watu kupendana halipaswi kuwa kosa na jambo la kuuana, tustaarabike.Mume wake akikuua, sio murder case, ni manslaughter. Haendi jela zaidi ya miaka mitatu.
Wabongo wana ushamba sana sometimes, hili ni jambo la kawaida sana wala sio kitu cha ajabu.Sasa kwani ukiwa mke wa mtu ndio moyo unafunga usipende tena?
Lazima tukubali ukweli pia kwamba mapenzi yanaweza kuisha muda wowote, sio lazima watu wapendane mpaka kifo.Kinachototautisha Wanawake wa kizaz hiki na mabibi na Mamama Zetu ni Tabia.
Mwanamke wa sasa . Ukimcheat, nae atalipiza. Kama ni mke. Akijua umechepuka wiki hii . Bas na yeye atachepuka wiki ijayo.
Akijua kuna mwanamke unamtunza nje. Basi na yeye atatafuta danga ili atunzwe.
Ukimyima faraja, penzi, nk bas na yeye atatafuta nje ya ndoa.
bado naamini ni ngumu sana. Mnapendana na ww kama mwanaume ukatimiza majukumu na matarajio yake aliyoweka kwako kama mwanaume na mume wake alaf na bado akacheat.
Mapenzi pia yanaweza kuisha.Wengi wanaolewa huku kimwili lakini kihisia wanakuwa kwingine!
Pia upendo au mapenzi romantic yanaweza kuisha, sio lazima yadumu milele au hadi kifo.Nimesoma btn the lines.
- Watu weng wanakaa kwenye ndoa na hakuna mapenzi.
- wanawake % kubwa wanakupendea vitu unavyomiliki.
ni kama % imezidi uwiano.
Ndoa nying haziko hivi.
Ukiangalia ndoa kwa negativity utaona nying zinavunjika.
Ila hebu siku angalia pia upande wa pili. Ni nyumba ngap zimesimama na ndoa imara.
Hebu hapo unapokaa. Angalia majiran. Hesabu 10 . Angalia ndoa ngap zimevunjika.
Angalia ndugu kaka dada zako. Hesabu walioolewa 10. Alaf hesabu wangap ndoa zimevunjika.
% utakayopata. Ndio Inalandana na uhalisia.
Wewe huaga una akili sana mkuuSioni tatizo, inawezekana aliolewa kwa sababu ya pesa, presha au kurubuniwa lakini hakukuwa na mapenzi ya kweli, inawezekana pia mapenzi kwa huyo mwanaume yameisha na inawezekana pia mnaendana zaidi.
Tatizo binadamu tunaogopa ukweli mchungu na tunafungwa sana na tamaduni zetu, dini na mitazamo ya jamii.
kila mtu anatakiwa kuwajibika kwenye ndoa.Ukinicheat nakucheatKawaida hiyo kwa sasa wake za watu wamekuwa hawajiheshimu sijui wanalipiza visasi
Shida sio ku cheat je utapata furaha?k
kila mtu anatakiwa kuwajibika kwenye ndoa.Ukinicheat nakucheat
Aiseee 😀😀😀Sasa kwani ukiwa mke wa mtu ndio moyo unafunga usipende tena?
Mwenzio kaona ni habari🙆♂️Wabongo wana ushamba sana sometimes, hili ni jambo la kawaida sana wala sio kitu cha ajabu.
Marahaba!Aiseee 😀😀😀
Sasa hapo si sawa na kununua malayaNinampenda mke wangu, na sijawahi kutamani mke wa mtu ambae najua kuna bwana wake kila siku anamtomba...
Na kama ikitokea basi lazima awe mzuri sana, bonge la tako na atamke wazi kabisa anaenda kunipa jicho, maana kama ni mbususu sio kitu cha ajabu kwangu, tena inayokandwa kila siku na bwana wake.....
Na hapo nitajua itakuwa ni one night stand, hakutakuwa na muda wa kuongeaongea wala kupeana namba......