MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,763
- 22,998
Kwa nini mume aue kwa ujinga wa mke wake??.Mume wake akikuua, sio murder case, ni manslaughter. Haendi jela zaidi ya miaka mitatu.

Polee yake mume wake 😢
Kitu hujui watu wengi wanakaa kwenye ndoa na hakuna mapenzi
Tena wanawake asilimia kubwa anakupendea vitu unavyomiliki
Anaishi na wewe anajua hatalala njaa na utamjua tu kwa matendo yake
Wapi nimesema ndoa zote ziko hivyo?Umetoa maneno kana kwamba ww ni Kungwi.
Sio ndoa zote ziko hivi dear.
Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Wengi wanaolewa huku kimwili lakini kihisia wanakuwa kwingine!Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Nimesoma btn the lines.Wapi nimesema ndoa zote ziko hivyo?
Leo sina mood ya kuandika nimechoka kinoma next time tutabongaNimesoma btn the lines.
- Watu weng wanakaa kwenye ndoa na hakuna mapenzi.
- wanawake % kubwa wanakupendea vitu unavyomiliki.
ni kama % imezidi uwiano.
Ndoa nying haziko hivi.
Ukiangalia ndoa kwa negativity utaona nying zinavunjika.
Ila hebu siku angalia pia upande wa pili. Ni nyumba ngap zimesimama na ndoa imara.
Hebu hapo unapokaa. Angalia majiran. Hesabu 10 . Angalia ndoa ngap zimevunjika.
Angalia ndugu kaka dada zako. Hesabu walioolewa 10. Alaf hesabu wangap ndoa zimevunjika.
% utakayopata. Ndio Inalandana na uhalisia.
Kumbuka ndio walioanzisha kitanda hakizai haramu.Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
HakikaAmri kuu ni upendo, tupendane jamani
Sawa na Pole sana . Meet you around the road.Leo sina mood ya kuandika nimechoka kinoma next time tutabonga
Thank you 😊Sawa na Pole sana . Meet you around the road.
Mwanaume uoa mwanamke ansempenda lkn mwanamke uolewa na mwanaume alietayari hasa kama huyo mwanaume anajiweza.Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Mwanamke mmoja ndiyo anafanya uhitimishe hivyo!?Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Mambo hayo hayajaanza Leo, ni sasa hivi Tu watu wanayakuz lakini yapo kitambo sanaNdoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Matumizi mabaya ya Neno ConclusionMwanamke mmoja ndiyo anafanya uhitimishe hivyo!?