ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Siwezi hiyo kaziWewe dada unafaa kuwa kungwi la gen Z
Siwezi hiyo kaziWewe dada unafaa kuwa kungwi la gen Z
Mwongozo upo love ni kumfumua hakunamna nahuo ndo uanaume! Zikija mtoa mada ateleze nazo tu
Dhambi sana...Mwongozo upo love ni kumfumua hakunamna nahuo ndo uanaume! Zikija mtoa mada ateleze nazo tu
Weeeee utamu kwanza dhambi utatubu!Dhambi sana...
Ndoa sio mwisho wa kupendaNdoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Ndoa sio upuuzi, huyo mke wa mtu ndio mpuuzi,Ndoa sio ndoano kama anaona kuwa hawezi kuendelea kuishi na mwenza wake ana haja gani ya kujitesa? Maisha yenyewe mafupi atoe kitanzi maishani mwake awe huru kama na wewe anavyodai au na mtu mwingine.Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Tatizo ni umri! Huo ni ubinadamu, hata wewe kuna siku atakuona wa kawaida tu. Kufunga ndoa hakubadilishi mtu, atabaki ni yule yule. Kukinai ni jambo la kawaida.Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Spoken like a woman. Kwamba utashi wa mwananke mwenyewe hauwezi kumpelekea akachepuka bila kukosewa! Hypergamy is a joke to you isn't it?Kinachototautisha Wanawake wa kizaz hiki na mabibi na Mamama Zetu ni Tabia.
Mwanamke wa sasa . Ukimcheat, nae atalipiza. Kama ni mke. Akijua umechepuka wiki hii . Bas na yeye atachepuka wiki ijayo.
Akijua kuna mwanamke unamtunza nje. Basi na yeye atatafuta danga ili atunzwe.
Ukimyima faraja, penzi, nk bas na yeye atatafuta nje ya ndoa.
bado naamini ni ngumu sana. Mnapendana na ww kama mwanaume ukatimiza majukumu na matarajio yake aliyoweka kwako kama mwanaume na mume wake alaf na bado akacheat.
Sahihi! Unajua kuna fomula inasema: distance times foolishness is equal to Beauty. Umbali unapopungua uzuri unapungua. Ukiunganisha vikojoleo maana yake distance ni zero. Kumbuka any number times zero equals to zero. Kama mwanamke hamuishi wote, kila mtu anakuwa na hamu mnapokutana guest. win-one alijisemea anafika keshalowa. Kwenye ndoa Upo naye benet ujue. Ndoa inataka ukomavu wa akiliNdoa sio upuuzi, huyo mke wa mtu ndio mpuuzi,Ndoa sio ndoano kama anaona kuwa hawezi kuendelea kuishi na mwenza wake ana haja gani ya kujitesa? Maisha yenyewe mafupi atoe kitanzi maishani mwake awe huru kama na wewe anavyodai au na mtu mwingine.
Ila nikuambie kitu kimoja, mke wa mtu ni mzuri anapokuwa kwenye ndoa yake, nje ya ndoa yake ni mwanamke wa kawaida sana, yaani ni malaya kama Malaya wengine, hiyo heshima ndogo unayompa ni kwa sababu ya ndoa yake. Hata yeye kwake ni rahisi kukupata wewe kwa sababu anatumia nafasi ya mume wake vibaya. Nakuakikishia kuwa akiachika kwenye ndoa yake hata wewe utamuacha.
gwapole kuna vitu vingine huwa natania jamni😅😅😅 usiwe unabeba kila kitu ninacho zungumza dah,,,Sahihi! Unajua kuna fomula inasema: distance times foolishness is equal to Beauty. Umbali unapopungua uzuri unapungua. Ukiunganisha vikojoleo maana yake distance ni zero. Kumbuka any number times zero equals to zero. Kama mwanamke hamuishi wote, kila mtu anakuwa na hamu mnapokutana guest. win-one alijisemea anafika keshalowa. Kwenye ndoa Upo naye benet ujue. Ndoa inataka ukomavu wa akili
NakaziaNdoa sio upuuzi, huyo mke wa mtu ndio mpuuzi,Ndoa sio ndoano kama anaona kuwa hawezi kuendelea kuishi na mwenza wake ana haja gani ya kujitesa? Maisha yenyewe mafupi atoe kitanzi maishani mwake awe huru kama na wewe anavyodai au na mtu mwingine.