technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Wengi wao siyo waaminifu Kwa wenza waoNdoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Tena ndoa ni kwa mwanaume na mwanamkeSema hivi umekutana na Malaya mwenye ndoa!
Inasikitisha Sana.Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.
Imagine mke wa mtu anasema ananipenda Sana na anasema hawezi kuniacha anasema anataka muda wa kutosha na Mimi Leo nilikuwa naye namsikiliza. Mtu waliyevalishana Pete anamponda je ndoa sio upuuzi?
Ndio nikafika concussion kwamba ndoa kwa Sasa hakuna ila Kuna watu wawili wanaishi nyumba moja ila kila mtu akiwa na ajenda, malengo na tageti zake.
Tena akome kwelikweli!Tena ndoa ni kwa mwanaume na mwanamke
Sio Wavulana na wasichana aliokutana nao halafu anatupa mrejesho.!
Huyu GenZ akome kabisa kucheza sharubu za wazee.!
MalayaSema hivi umekutana na Malaya mwenye ndoa!
hey,Ndoa kweli zimeisha, zimeisha ndoa zilikuwa zile za mababu na baba zetu ndoa Sasa hakuna.