Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Unapenda ushangingi wewe!ngoja wakukamate wenye uchungu na waume zao,wenzio wanafua,wanawaogesha,wanawapikia,wanawanyoa mavuiz,halafu hawapewi Haki yao wewe ndio unafaidi tu nje Shauri yakoπŸ™„
Bwana huyu bwana huyu kaniganda mie

Wala hanipi pumzi*2

Namimi namimi ninayapenda

Nazidi kukaza uzi*2

We baki baki unavyokarega

Hakupendi hakupendi hujijuzi*2

Wala hujui kupendaaa

Na mabao huyamalizi.*2

Mume wa mtu maziwa
 
Acha kumuongezea uchungu
Ahahaha wenzake mikono laini tukimgusa mumewe kifuani anapata joto la mkono yeye akimgusa mumewe anasikia magaga mkono una magaga kama anafanya kazi kiwanda cha stiliwaya
 
Bwana huyu bwana huyu kaniganda mie

Wala hanipi pumzi*2

Namimi namimi ninayapenda

Nazidi kukaza uzi*2

We baki baki unavyokarega

Hakupendi hakupendi hujijuzi*2

Wala hujui kupendaaa

Na mabao huyamalizi.*2

Mume wa mtu maziwa
Eeeh Dada kwaheri ngoja nikamfunge kamba mume wangu mie
 
Ahahaha wenzake mikono laini tukimgusa mumewe kifuani anapata joto la mkono yeye akimgusa mumewe anasikia magaga mkono una magaga kama anafanya kazi kiwanda cha stiliwaya
DuhπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Yameshakukuta wewe πŸ˜‚πŸ˜‚

Dada mtu wako akikuzingua si wote, hata huku kuna baadhi ya wanawake kichefuchefu, kuna baadhi unakula raha za dunia tu
 
Kujificha!umenishinda tabia
Mikono yake imechanika na visu kisa kumpikia mume hajui kushika kisu wenzie mikono mda wote ina unyevu nyevu shoo mikono inavutia sasa yeye mikono imepauka kama anachimba viazi alidanganywa akiolewa mume ata mtuza aloooooooo kumbe anatutunza sisi huku njee
 
Un
nge soma usingekuwa kijakazi hata polee acha wivu bhna nenda shulee tena kajifunze jinsi ya kujipenda ili mumeo awe akikuona anakutaman mda wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…