Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Dada umeongea kwa uchungu sana[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Juzi alilalamika hatongozwi
Jana akatuchamba hatujui uchungu wa mume
Leo anakuja na kampeni ya kataa ndoa, sasa tumuelewe vipi sijui
Yaani hata hajielewi anataka Nini!
 
Kama wamechoka mbona hawaondoki wew jichanganye tuπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Huyu member mpya anawezaje kujenga hoja hivi
 
kwan kuna mtu kakulazisha kuolewa,ikikushinda achana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…