Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

wengi wanazaliwa uswahilini wanamiliki geto moja kila kitu humo humo kama stoo halafu eti wanaogopa kupoteza pesa wakiachana
Yani kama Ulikuwa kichwani mwangu, nimeusoma uzi wa natafuta ajira na mjinga mmoja eqn akaja kupropose ushenzi uleule nikachoka! Kwa pesa zipi ukaanze kumuiga hakimi sijui khaby lame😂 ushindwe kudhibiti tamaa za mwili uje udhibiti kigeto chenye ndoo, visufuria sijui mtungi wa gas na godoro! Sawa ficheni huto tu suzuki swift tusije gawana mali😅
 
Yani nimekupenda bure wallah,umenipa raha kwa comment yako hii 😜😜​

Number don't lie sisi wafanyabiashara tunaongozwa na namba .

Rate ya divorce ni kubwa sana , so you can't risk ur money and time katika biashara ambayo haina faida.

Kwa upande WA pili kwa nchi Masikini kama Za Africa most women hawatafuti ndoa ila wanatafuta senseless donkey ambaye atavumilia drama zao na kuwalipia bills.

Moja ya Taasisi ya Kijinga inayoua future za wanaume ni ndoa .

Bado sio tu ndoa ila nchi zetu zina watu ambao ni uncivilized and selfish ambao they don't care about love but interest zao.
 
Kunguru mwoga ukimbiza mbawa zake, kuna mstari mwembamba sana kati ya woga na akili na ujasiri na ujinga/ upumbavu pia wasiwasi ndio akili mkuu.
Basi yaishe lol 😵‍💫🤸🏽‍♀️
 
Naishi na toto la mtu bila ule mkataba haramu unaoitwa ndoa lakini kila siku utamsikia sasa ukifa baba B utatuachaje mimi na mtoto wangu...
Sio vzr, halafu nishakujua wewe baba b! Mama b wa watu karelax huko anaona yuko ndoani kumbe utapeli tu😃

Marriage is scam aisee!
 
Back
Top Bottom