Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Unpopular opinion: Unaikumbuka biashara ya utumwa? inafanana sana na ndoawengi wanazaliwa uswahilini wanamiliki geto moja kila kitu humo humo kama stoo halafu eti wanaogopa kupoteza pesa wakiachana