Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Kama bado utakuwa unaamini kuwa upendo pekee utakulinda bila kuangalia uhalisia wa kisheria na silika ya
binadamu ilivyo basi wewe ndo utakuwa huyo mjinga.

Siwezi kuwa punguani kiasi cha kuweka rehani jasho langu la miaka 30 kwa ahadi ya hisia zinazoweza kubadilika ndani ya dakika 5.

Mtu anayefunga mkanda kwenye gari huwa hafikirii kuwa atapata ajali, bali anachukua tahadhari kwa sababu ajali ni uhalisia wa barabarani, ni suala la kuwa na akili ya utambuzi tu.
Bahati mbaya sana wengi wenu mmeingia kwenye mtego wa watu wachache ambao walipata changamoto za ndoa zao,sasa nyote mmepata hofu ambayo haipo

Kibaya zaidi kila mkiingia mitandaoni mnakutana na nyuzi za watu ambao wanaongea swala hilo hilo,mnafikiri mtakuwa salama? Lazima muathirike kwa ujinga wa watu wachache
 
Basi kigezo ulichotumia sio sahihi,kama uliangalia uzuri ilaumu nafsi yako
😁😁😁 Kila mwanaume Huwa anataka mwanamke mzuri na mwenye akili

Kinachotokea ni Ile umekosa chaguo Bora unaenda na ulilipo .

Ukiona mwanamke anakuambia kakupenda tu ujue uongo the same wewe kusema haujazingatia uzuri ujue uongo.

Mfano Hawa wanawake wakibongo Wana akili Gani kubwa ya kufanya umpendee akili !!?
 
As I told you - mambo hayapo the same na wazazi wetu .

Jamii ya Sasa hata kama hauna hela nyingi ila ujue hizo ndogo elfu tano na buku ndo wanazitaka hao wanawake na sio wewe .

Means 99% ya wanawake wa Sasa all they need ni kumpata senseless donkey ambaye atavumilia dramas zao na kuwalipia bills and nothing else.

NO love anymore.
Huwa napata shida kuwaelewa kabisa,kwahiyo kuhudumia familia yako ni jukumu la nani? Kumtunza mkeo ni jukumu la nani?

Mkeo is not ur business partner,ni jukumu lako,kwahiyo unataka ndoa isiyo na mahitaji na matumizi?
 
Siku ukifika kwa hakimu na ukakuta mkeo kaorodhesha mali za ndoa "marital properties" ili zipigwe pasu, ndio utajua kwamba ndoa ni wizi/utapeli.
Siku mkiqnza kisikiliza mashauri ya kugawana mali ambazo umechuma ukiwa kijana peke yako.
Siku ukiambiwa settlement ya ndoa yako ni mamilioni ya shilingi na bwana hakimu ndo utajua.

Kinyume na hapo ndoa ni nzuri tuu. 😁
 
Huwa napata shida kuwaelewa kabisa,kwahiyo kuhudumia familia yako ni jukumu la nani? Kumtunza mkeo ni jukumu la nani?

Mkeo is not ur business partner,ni jukumu lako,kwahiyo unataka ndoa isiyo na mahitaji na matumizi?

Lazima uangalie usalama wako - unabidi kuwahudumia watoto wako very strategically

Mwanamke is not ur partner , she is there kwa ajili ya kupata mahitaji ukiingia broke anaondoka .

Na sio kuondoka tu ila anabeba mali zako.

Kwa kutumia karatasi means ndoa haina uzito wowote wa ku-secure maisha ya Mwanaume.


Na wanaume wengi wameoa ili ku-meet societal expectations Leo wamepata mental problem na wengine wamejiua na wengine wapo broke
 
Bahati mbaya sana wengi wenu mmeingia kwenye mtego wa watu wachache ambao walipata changamoto za ndoa zao,sasa nyote mmepata hofu ambayo haipo

Kibaya zaidi kila mkiingia mitandaoni mnakutana na nyuzi za watu ambao wanaongea swala hilo hilo,mnafikiri mtakuwa salama? Lazima muathirike kwa ujinga wa watu wachache
Huwezi kuingia kwenye mradi ambao una failure rate ya zaidi ya 50% bila kuwa na exit strategy au kinga ya mali zako.

Zamani wanaume waliumia kimyakimya , lakini leo hii kuna transparency, uwezi kusema ni ujinga wakati sheria na mifumo ya sasa inampa mmoja faida na mwingine hasara halafu uonekane uko sawa.
 
Siku ukifika kwa hakimu na ukakuta mkeo kaorodhesha mali za ndoa "marital properties" ili zipigwe pasu, ndio utajua kwamba ndoa ni wizi/utapeli.

Kinyume na hapo ndoa ni nzuri tuu. 😁
Cha ajabu wanaume wengi hawana mali kihivyo ila kutiana ujinga tu
 
Basi bora huu ujinga wangebaki nao wenyewe,nasikitika wanautawanya kwa vijana ambao huenda wakaamini hizi nadharia zao
Wanaamini vibaya mno! Ukisoma comments utawaona wanavyohama upande kama wajinga!
 
Vijana mnao oa wala hamtakiwi , ni vile basi tu hamna namna, nitaoa nikifika umri wa babazao
20260412_055039.jpg
 
Back
Top Bottom