Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Huwezi kuingia kwenye mradi ambao una failure rate ya zaidi ya 50% bila kuwa na exit strategy au kinga ya mali zako.

Zamani wanaume waliumia kimyakimya , lakini leo hii kuna transparency, uwezi kusema ni ujinga wakati sheria na mifumo ya sasa inampa mmoja faida na mwingine hasara halafu uonekane uko sawa.
Wabongo bwana mnahofu mtafikiri mnamiki utajiri,kumbe mna hela ya kawaida tu
 
Ndoa ni kitu kizuri sana kwa mwanadamu,ndio inayomtofautisha na mnyama,wanyama wanakulana,lakini ndoa inampa hadhi mwanadamu anakuwa na heshima na maadili sahihi
Kitu kizuri 😂 enjoy mkuu, karibu bia 🍻
 
ngono ya ndani ya ndoa ni salama kuliko ya nje ya ndoa.
Ngono ya nnje ni salama , unakua makini kwa sababu haumuamini , ya ndani unaichapa kwa kujiamini kumbe mwenzako kashaungwa gridi ya taifa , unajua wana ndoa wengi wapo gridi ya taifa bwashee.?
 
Back
Top Bottom