Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Sijasoma andiko lote nimeishia hapo ulipoandika

"Watu wawili wenye malengo yanayofanana wana uwezo wa kulimbikiza mali kwa haraka zaidi kuliko mtu mmoja."

Hizo mali za kulimbikiza mwanamke anazitoa wapi?
 
Shida Maisha yamebadilika kinoma,
Nilipokua shule ya msingi, miaka ya 2005 tu hapa,
Sh. 200 napata kikombe kidogo cha Maziw sh. 100 na maandazi Matano ya sh. 20 nakula nashiba.


njoo 2026 utatubu

I prefer to be single 😉 😂 for a moment
 
Mkuu, mimi sio tuu nina mguu mmoja ndani, hata huo mguu mmoja sijaweka.
Sikatazi watu kuoana kisheria, oaneni at your own risk. 😁
Jamani kwani wanaume mmekuja kuwaje mkuu? Hivi mkeo anakupenda kabisa na hana shida how comes you put ur two legs outside but forgetting the sensitive one inside🤫
 
Back
Top Bottom