Vijana wa kiume nanyi ndiyo tatizo. Miaka ya hivi karibuni wanawake wameshika sana mimba pasipo kuolewa. Wamezaa wengi sana na ilionekana kama trend. Wengi wameishia kuwa single mama.
Baadae mnabadilika, hamtaki kuwaoa single mama. On counter, wanawake wanakunywa P2 na dawa nyinginezo ili wasizae watoto kabla ya ndoa.
Matokeo yake, wanaharibu vizazi na kuvuruga mfumo mzima wa vichocheo. Anafika wakati wa kutaka mtoto anaingia gharama kubwa sana kufanikisha.
Mabinti jitunzeni. Ngono fanya kwa kutumia kinga. Au jitahidi kufata kalenda yako.