Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

Ila uvimbe ukitolewa anaweza PATA maana mpaka saivi ana 29 hajapata mimba na tangu tunakua hatujawah msikia ana mimba na sasa kapata ndoa yake mwaka unaanza watatu huu ndoani
 
Vijana wa kiume nanyi ndiyo tatizo. Miaka ya hivi karibuni wanawake wameshika sana mimba pasipo kuolewa. Wamezaa wengi sana na ilionekana kama trend. Wengi wameishia kuwa single mama.

Baadae mnabadilika, hamtaki kuwaoa single mama. On counter, wanawake wanakunywa P2 na dawa nyinginezo ili wasizae watoto kabla ya ndoa.

Matokeo yake, wanaharibu vizazi na kuvuruga mfumo mzima wa vichocheo. Anafika wakati wa kutaka mtoto anaingia gharama kubwa sana kufanikisha.

Mabinti jitunzeni. Ngono fanya kwa kutumia kinga. Au jitahidi kufata kalenda yako.
 
Ila uvimbe ukitolewa anaweza PATA maana mpaka saivi ana 29 hajapata mimba na tangu tunakua hatujawah msikia ana mimba na sasa kapata ndoa yake mwaka unaanza watatu huu ndoani

Wakati anakua Hamjawai kusikia ana mimba ni kwa sababu alikuwa anatumia vidonge vya kuzuia mimba . Hivyo Haimaanishi alikuwa hafanyi mapenzi.

Kwa akili ya kawaida tu. Jiulize je dada yako aliolewa akiwa na bikra yake kwenye huo umri wa miaka 27 ?

Swala la kupata mimba aende akawaone wataalamu hospitali watajua cha kufanya
 
Kwan kuzaa kwa CS ni moja ya changamoto ya uzazi? Nadhani mleta mada anawazungumzia wale wasio shika mimba kabisa,au miscarriage mfululizo.
Nachojua mtt anatakiwa kuzaliwa kwa njia ya kawaida nje ya hapo ni changamoto ya uzazi
 
Hali ya maisha ni ngumu, lishe ni hafifu
 
Nachojua mtt anatakiwa kuzaliwa kwa njia ya kawaida nje ya hapo ni changamoto ya uzazi
Mkuu Kuna wengine Wana nyonga hazitanuki kulingana na maumbile waliyoumbwa wanawake wengine Wana nyonga za kiume,lakin hata hvyo nasikia c section watu wanazaa hata watoto wanne au zaidi kulingana na Hali ya kizazi vile atakavoona daktari anaefanya c section
 

Tafiti nyingi zinatu point sisi wanaume kwamba sperms count inashuka globally.

Wakifiria sababu inaweza kuwa environmental/chemical exposure, obesity/life styles etc.
 
Ni changamoto kubwa kwakweli...na hivi vidonge vinaweza kukuletea ugumba maisha,maana dawa Zina reaction tofauti kwa Kila mtu
 
Hospital ameenda kaambiwa afanyiwe operation nafikiri i uvimbe ni mkubwa..ila kama kuna watalamu watuleze chanzo cha uvimbe kinaweza kuwa nin
 
Mchepuko wangu nafikiria kuupiga Chini ila namuonea huruma. Ndoa haikua na amani kwasababu ya kutokuzaa wakaachana. Mimi nikalibeba jukumu la kumfunga paka kengele lakini naona linaenda kunishinda.
Hahaha, ukabeba jukumu la kufunga paka kengele! Nimechekankwa sauti naoma vijana wangu wanasogea waone kuna nini kinachonichekesha kwenye simu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanatoa mimba sanaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…