Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

MOTILITY=MOBILITY
 
Kuna kipindi alipata akaitoa sababu alimfuma mwanaume 😂 saiv ana haha

Tatizo wazazi na watu wa afya hawafundishi huu ukweli kwa mabinti ili wajijue mapema.

Pia umri wa kuolewa ni factor kubwa. Wanasema prime age kwa mwanamke kushika ujauzito kwa haraka na kuzaa bila complications ni miaka 18 mpaka 24. Hapo mwanamke mayai yake yana nguvu kweli kweli... sasa umri huu wanawake wengi ndio wanatoa mimba na ndio wanatumia vidonge p2, wanaweka vijiti.

Wanawake wengi siku hizi wanaolewa late wakiwa above 28 ama 30. Huo umri kusaka mtoto sio kazi ndogo. Hasa kama huyo mwanamke zamani alikula sana vidonge vya uzazi ama kutoa mimba
 
Hili swala ni very tricky.

Kijana (na jamii) anataka aoe mwanamke ambae hajawahi kuzaa. Akikutana na binti hata awe na 30 yrs mradi hajawahi kuzaa huyo ndio anaonekana "wife material" na kwamba kajitunza! Kumbe usijue mwenzio mpaka kufikia umri huo kashakula ndoo ngapi za p2 na kachoropoa mimba zaidi ya 9.

Kuna siku niliwahi kusema humu kwamba saa nyingine hawa ma singo maza tunawakandia bure tu ila ni afadhali kuliko hawa ambao hawajawahi kuzaa. Binti ambae alibeba mimba na akajifungua inamaanisha kabisa huenda hakuwa "mjanja" wa kutumia ma p2 au kuchoropoa mimba kama huyu ambae hakuwahi kuzaa.
 
Changamoto ni kubwa sana
 
Ndugu ni Mtu uliyezaliwa naye tumbo 1 kwa Mama na Baba mmoja.
Kwa Kiingeleza wanaita Siblings

Ambapo Mtoto wa Shangazi yako ni Second Degree Sibling, ambaye anadondokea kwenye Relative au Jamaa
😂😂Hii inafanya kazi huko uzunguni huku Afrika mambo sio hivyo braza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…