Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Na bado wataachana sana, wakiambiwa ndoa sio jambo la kukurupuka, wao kuwaza kuwakomesha watu au fahari kuwa mke/mume wa fulan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watajua hawajui lol
 
Bidhaa nyingi za Moshi na Arusha wakenya ndo huleta hapa, pia hufika Tabora kuchukua asali na pia kama ulivosema kuhusu mbao.
 
Na bado wataachana sana, wakiambiwa ndoa sio jambo la kukurupuka, wao kuwaza kuwakomesha watu au fahari kuwa mke/mume wa fulan, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watajua hawajui lol
Kweli ndoa ni kujitoa mhanga, ndoa sio jambo rahisi hata kidog
 
Hawa vijana wa mama Kiba wana matatizo makubwa sana….kweli baba ni kiungo muhimu sana kwenye malezi ya watoto
 
unaweza kushinda stand ukawa fala tu, ndio maana stand kuna vijana wanalala hapo, hawana hata sehem ya kulala
 
Hawa vijana wa mama Kiba wana matatizo makubwa sana….kweli baba ni kiungo muhimu sana kwenye malezi ya watoto
Kweli Kabisa baba ni kiungo muhimu sana kwenye familia lakini wakati mwingine inabid tu maana hamna namna. mwanamke kuishi single maza kutokana na mambo fulani fulani inabidi
 
Naona Amina alivumilia sana mpaka kaleta mtoto wa pili ila jamaa hakushtuka wala kurudisha majeshi kimoja

wale jamaa wa kuleta udini sijawaona hapa huwa wanatamba ndoa za dini ya Alli hazina mambo ya kupelekana mahakaman
 
Kweli Kabisa baba ni kiungo muhimu sana kwenye familia lakini wakati mwingine inabid tu maana hamna namna. mwanamke kuishi single maza kutokana na mambo fulani fulan
Nakubaliana na wewe ila baba apewe kipaumbelechake hata kama haishi na hiyo familia
 
Wakikuyu wa kenya waligawanyika wengne wakahamia Tanzania ndo hawa wanaitwa wacha,,a

Ndo mana wanafanana kila ktu tangu sura, shape na tabia. Wote ni wapenda hela balaa
Hii kitu nilikuwa najiuliza sana. Unajua tabia za kufanana huwa hazijifichi hata kidogo. So ukitazama ni kweli na ndio maana tabia za zile sampuli za kule ni tofauti na jamii zote za kitanzania wao wanamatabia kama Ananuki kutoka nje ya dunia.

Tabia za ubinafsi sio za kibantu kabisa. Haya majitu sijui yameumbwa na udongo wenye madini ya magadi?!
 
Tamaa ni tamaa tu. Hata wakikaa na mtu mwenye pesa tamaa itaongezeka. Kuishi na mtu mwenye tamaa ni swala la kupoteza muda.

Mwanamke akiwa kiburi(maamuzi yake binafsi yasiyohusisha mwanaume wake) na mwenye tamaa si wa kucheka nae tena usifanye hata ujinga wa kumpa mbegu zako kwa maana ya kuzaa nae kama unataka watoto wako wasiwe kizazi cha nyoka.

Piga kama unapiga ila tupa chini kule temana nae. Mwanamke mwenye tamaa ni sumu usitumie hata mia yako kumpa anachotaka, temana nae haraka sana.
 
Kuchakarika ni swala moja , kuwa na mafanikio ni swala jingine. What if alikiba ana mafanikio yake na anakipato why asirelax tu.
 
AliKiba ni mvivu!!!?
Kweli wewe ni kichwa debe.
WatU wanatafsiri vibaya maana ya uvivu kukaa ndani sio uvivu instegemea umekaa inafanya nin, mwingine anakaa ndani bila ya kufanya kitu chochote yes huyo ni mvivu, mwingine anakaa ndani anapenda kukaa mwenyewe ili apate mda wa kufikiria mambo yake huyo sio mvivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…