Ndoa ya Ally Kiba shakani, Amina aomba talaka Mahakamani

Hapa naomba utolee mfano wa fala mmoja anaitwa wema sepetunga
Maisha anayoishi UWOYA kwa sasa ndio ambayo aliyaishi Wema sepetu miaka michache iliyopita..Bongi Movie sijui nani kawaroga hawajifunzi kutokana na makosa ya wenzao kabisa
 
Sina la kuongeza mkuuu umeua kila kitu..Ali laiti angekuwa na spirit ya hardworking ya Mond basi wenda angekuwa mara tatu ya Mondi sema ni mtu ambaye anaridhika na hayupo serious katika utafutaji
Kwa kifupi sema Amina alitegemea kukuta spirit ya hardworking ya Mondi kwa Alikiba. Akakuta kumbe Ali ni style zile za bongo movie jina kidogo anataka majimama ndo yamfanyie kazi yeye ale tu na kufanya kazi anapojiskia tu
 
Damn right
 
Apambane, 4m kwa kiba haipaswi kuwa tatizo japo sina hakika kama atamudu kila mwezi maana nakumbuka tu msala na producer Manwater walisumbuana mda mrefu sana sababu ya 5mn tu. Kwa level zake akiwa creative hakosi parefu kila mwezi
Ujue jamaa kazaa na wanawake wengine watatu, ukiachana na Amina.Kwa hiyo kama wanawake wote alio zaa nao wakimkalia kooni inaweza ikamtoka mpaka 8-10m kwa mwezi.
 
Watu wengi tu duniani wanaweka utu pembeni kwasabu ya. Pesa,
Mfano. Drug dealers, watu wanaodili na kutengeneza magonjwa makusudi duniani, prostitution, ufisadi nk. hawa wote wapoteza utu ili wapate pesa
 

Kitabia nikweli aise wako very different na watanzania wengine, binafsi huwa siwatofautishi sana na wahindi, ila wachache wako vizuri,,,

Kwa upande wa ardhi, pale moshi nasikia hawauzi ardhi kwa mtu mwingine tofauti na kabila lao,,, ni wao tuu. Huu ni ubinafsi na ubaguzi haswaa,, mkuu nenda kanda ya ziwa kwa wasukuma wanavyokirimiwa hawa wachagga,,viwanja/manyumba wanauziwa. Ila kwao sasa dah mpaka nachoka aise 😁
 
Uongo tu,
 
Hii imani nilikuaga nayo na niliwahi sema sitooa mchaga. Kilichonikuta ni kuwa my wife ni mchaga,na hata kabla yake niliekua nae ni mchaga.

Ajabu ndo kanivumilia kiasi ambacho madem wengi hawawezagi kuvumilia dadadeki maana baada ya kutumbuliwa yale maisha nilopitiaga only God knows. Na ali-hang on na hamna alieamini ukizingatia ni pisi kali.

Ye alikua anapiga tu maombi maana nilimuachishaga kazi ya ualimu kijijini huko ili tulee nimfungulie mini supermarket na kazi ikaisha kabla sijafungua.

Nimeamua kucomment baada ya kuona unamtazamo ambao ni too general kwa wachaga wakati mi nimeshuhudia masela kibao wakiachana na wake zao ambao si wachaga baada ya kazi kuisha.

Namimi ndo nikapitia life la tabu sana na ndo the only comfort I had yeye na my kids maana hadi ndugu wa tumbo moja nao kiaina walinihukumu. Nilishaga koment pia kwenye uzi flani humu kama 3 years ago kuhusu tuliokuaga vizuri afu tukafilisika.

Amefanya niheshimu sana hili kabila maana yale maisha baada ya kutumbuliwa ilikua aibu aisee,kati ya vitu huwa namshukuru Mungu katika maisha yangu ni kunipa huyu mke aisee maana we were tested to the limit na it took time kuinuka kama 4 years.

Na huwa sielewagi wanaoshauri watu wasioe wanatumiaga akili gani
 
Safi
sana, Umemaliza kila kitu, watu wengine wanaona wachaga sijui kitu gani, shauri zao
 
Hapo ndio mjue ninyi kaka zetu wa kibongo ni changamoto...wenzetu hata majirani wamewashindwa. Ni sisi tu ndio tunaweza kuvumilia maujinga yenu pumbaf ninyi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1][emoji1][emoji1] hatari anashinda ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…