Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Mbona mie Hamisa namuona anajiheshimu sana? Giggy na hamisa nani paka la baa?
Sina uhakika na akili ya Hamisa kama imetulia kwa sasa,ila kama kaamua kutulia,hiyo karata aliocheza iko vizuri sana,heshima ya mwanamke huja baada ya kufunga ndoa,watu watasahau yote ya nyuma na kufuatilia ya sasa...
 
Huyu Aziz k huenda kufanya maamuzi yake based on HISIA sio mbaya......But kuwa na hamisa kaingia Cha kike, naona kiwango chake kinaenda kuporomoka vibaya mno, then Nini kifuata??

Mshahara wa mil 20+ unapuputika, baada ya hapo unahisi Bado ndoa itakuwepo??

Hapo Aziz k atakuwa kashapigwa knockout ndoa hakuna+ carrier ya mpira ndio imeisha hiyo...

Na hapa ndio unaamini Ile kauli ya adui zako hawatoki mbali wapo hapo hapo kwenye mizunguko yako ya maisha ya Kila siku,,, adui zake ni kina nani??? Mimi sijui
 
Hakuna jambo jipya chini ya jua yote ni ubatili! Tumuombee Mtanzania mwenzetu abilities aibu taifa. Aliheshimishe kwa kutulia na kulifanya taifa letu kuaminika kutoa wanawake watulivu kwenye ndoa. Soko la ndani kwa wanawake limekuwa la kusua sua. Aidha, kwa upande wa Aziz Ki hatuna buni kumpongeza kwa maamuzi magumu aliyoyachukua na si rahisi kujua alivutiwa na nini kwa Hamisa. Maamuzi ya kila mtu yaheshimiwe.
 
Sina uhakika na akili ya Hamisa kama imetulia kwa sasa,ila kama kaamua kutulia,hiyo karata aliocheza iko vizuri sana,heshima ya mwanamke huja baada ya kufunga ndoa,watu watasahau yote ya nyuma na kufuatilia ya sasa...
Hamisa hana.kashkash kama wasanii kama amber ruru, gigy,wema, aunt ,uwoya et all...ana kautulivu..nioneshe biashara yauwoya..bora hamisa anabiashara inaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…