Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Binafsi nimeshangaa mpaka kufikia level ya mwisho ya kushangaa.

Kweli nimeamini kuwa UCHAWI UPO

Hivi mtu kama Ki anakosa pisi kali ambayo haijazaa na ina maisha yake kweli? Yaani anaenda kuoa li mshangazi lililozalishwa watoto wawili na midume tofauti tofauti, yeye hajiulizi kwanini wenzao wamemwaga wino na kusepa?
Huyo ki ni bonge la kiazi!

Na hayo ndio madhara ya kutohudhuria vikao vya wanaume mwisho wa siku unakuja kuyatimba
 
Kazalishwa na wageni?
Kwanini hawakutaka kumuoa?
Wakishindwa au walikataa kumuoa?
 
What if akapata Nyota zaidi hadi kununuliwa na club za Ulaya?
 
Yanga wanatapeli maisha ya jamaa!!

Kifupi ,Yanga wanatumia mbinu ya economic hitman kummaliza Azizi!

Azizi anaumizwa lakini hajui kabisa kinachotokea coz asali anayolambishwa inampofusha asione uhalisia!!
 
Hata kwa Wema, Wopa na Uwoya mlisema hivi hivi kiko wapi?

Zile mishe zao za kwenda Uturki na Dubai kununua Makontena ya biashara ziliishia wapi?

Watanzania wakawaida wako Realistic na maisha. Hawajawahi kusema Uongo.

Juzi nimemsikia Irene akisema anatamani Mwanaume yeyote wa kumuoa. Unajiuliza ina maana wale Mapedejee wote aliolala nao hakuna hata mmoja alimpenda?
 
Omba mungu akupe hitaji la.moyo wako ila hujui hamisa hajaolewa kama ndoa ameolewa ili aziz ki apate ruhusa yakukaa huku bila kusumbuliwa na vibali vya hapa napale wakaingia mkataba na hamisa kuwa wazae mtoto kuonekana wanafamilia so maisha ya matajiri ni ujanja. So umalaya unini hakuna mkamilifu dunia hii.
Kwani aziz k mpaka anamtoto na watoto je umamchunguza kitu yake imeingiza mara ngapi??? Nayeye nimalaya kama hamisa ni bora ndoa yamchongo kushinda upweke na kutanga tanga
 
Huyo jamaa kaingizwa chaka na atalia sana muda si mrefu. Yani pakashume la bar unataka ulifuge ndani?

Najua hapa akina dada mtani attack ila huo ndio ukweli huyu Azizi kaingizwa mkenge.
Kwa kweli wana vitu vingi ambavyo ni tofauti kuweza kuishi pamoja....

Lakini plse usimwite Hamisa paka shume,utu wake plse,kila mtu ana upande wake wa pili
 
Kwa hiyo wewe huyo mke ndio wa kwanza kumtoa bikra

Maana kelele nyingi kumbe na wewe umeoa jitu tayari lipo wazi

Muangalie mke wewe ndie ulimtoa bikra,kama hukumtoa kaa kimya

Tambua kuna watu wamemchakata sana mpaka wewe ukamuoa
 
Nilisema hii ni project ikikamilika mtaona mengi na mtasema mengi.
Mara nyingi maishani unajifunza zaidi kupitia makosa, na inapendeza makosa hayo uyaone kwa wengine yasikukute wewe mwenyewe!
Hakuna kanuni za ndoa .kila ndoa na style zake wengine wanalala uchi ,wengine na nguo

Wengine wanazama chumvini,wengine wanaogopa chumvi wanaona uchafu

Sasa usielezee ndoa yako ukadhani wote wanakula tigo
 
Jamaa wa kule wengi wanakuwaga mambulula, we subiri mpaka siku umsikie anaongea ndio utajua kuwa ni easy target. Hawa wadada wanaforce issue lbalaa. Unalazimishwa kuwa boyfriend hata kama hutaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…