MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Wanamichezo wengi hasa wacheza mpira huwa akili hawana kabisa nje ya fani zao. Kuoa pakashume kama Hamisa ni kosa litakalomgharimu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe unamfahamu Hamisa kuliko bwana yake?Wanamichezo wengi hasa wacheza mpira huwa akili hawana kabisa nje ya fani zao. Kuoa pakashume kama Hamisa ni kosa litakalomgharimu sana.
Noma sana!Hakuna mke pale kijana kapigwa
Swali la kijinga sana hili.Wewe unamfahamu Hamisa kuliko bwana yake?
Buhahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 acheni nongwa eti kanunua mwenyewe na HersiUliyosema ni kweli tena kweli tupu
Suala la kuoa kati ya msimu na kupotea ni Pete na kidole
Hata aliyekuwa captain wa Azam somebody Banyana alikuwa moto kweli akaenda hiyo fungate kurejea ni kawa wa kawaida sana
Lakini picha za mahusiano ya hamisa na Aziz mi huwa naona Aziz ni kama anashangaa hata hajui nn kinaendelea mi Nina mashaka hata wale ng'ombe ni hamisa na hersi wamenunua wenyewe
Acheni kujifanya mnawajua watu, jitu lipo huko Ushetu linajifanya linawajua watu wapo million miles away from himSwali la kijinga sana hili.
Pyee!Huyo jamaa kaingizwa chaka na atalia sana muda si mrefu. Yani pakashume la bar unataka ulifuge ndani?
Najua hapa akina dada mtani attack ila huo ndio ukweli huyu Azizi kaingizwa mkenge.
Fatilia lugha ya picha Aziz huwa ni kama anasoma script kwa umakini mkubwaBuhahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 acheni nongwa eti kanunua mwenyewe na Hersi
Fursa fursana.. Bajeti ya harusi ilikuwa over 50M..Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya
1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata mke wa kumpa utulivu tofauti na Mobeto
2. Wazazi au ndugu wa Aziz ki kutoonekana siku ya kutoa mahali.
Eng Hersi ndo alisimama kama mzazi,
Hili halikuwa jema
Mama yake Aziz ki yupo Burkina Faso sio mbali ni kufika na kumpa heshima hiyo
Kumbuka hii ndoa ni ya mataifa mawili,
Eng Hersi ni Mtanzania na Mobeto ni Mtanzania, Kwa maana hiyo Eng Hersi anatokea umamani hawezi kusimama upande wa Aziz ki
3. Maisha yatakuwaje baada ya ustaa wa Aziz ki kufika Kikomo
Football ni Kazi ya muda mfupi mno
Labda Mobeto kampenda Aziz ki kisa ni staa lakini nina uhakika Aziz hana misimu 3 mbele akiwa katika form hii
4. Kwanini asingefunga ndoa mwisho wa msimu
Ligi inaendelea key players wanafunga ndoa na wachezaji waandamizi wote wako kwenye harusi na tarehe 17 Kuna mchezo dhidi ya Mashujaa, hapa nawaza
Mapenzi mapya yanahitaji muda, huwezi kuwa na mke mpya uwaze vyema kazi ya physical kama football na ufanye katika form nzuri
Washauri wa Aziz ki hawakukaa nae vyema kumpa madini ya msingi nadhani alikutana na machawa wakampoteza
Mchezaji wa Simba Valentine Nouma alifungwa ndoa ligi ikiwa inaendelea na Sasa sijamuona hata bench Nina Imani Simba itamwacha tu
Boss, hii dunia wanaolewa mpaka wacheza picha chafu wenye bikra wanaachwa. Usiwe serious sana.Binafsi nimeshangaa mpaka kufikia level ya mwisho ya kushangaa.
Kweli nimeamini kuwa UCHAWI UPO
Hivi mtu kama Ki anakosa pisi kali ambayo haijazaa na ina maisha yake kweli? Yaani anaenda kuoa li mshangazi lililozalishwa watoto wawili na midume tofauti tofauti, yeye hajiulizi kwanini wenzao wamemwaga wino na kusepa?
Huyo ki ni bonge la kiazi!
Na hayo ndio madhara ya kutohudhuria vikao vya wanaume mwisho wa siku unakuja kuyatimba
Kwa,sbb hajui kiswahili so most of the time ana concentrate kwny mambo mengi..then anamuuliza mkewe..Fatilia lugha ya picha Aziz huwa ni kama anasoma script kwa umakini mkubwa
Mkuu bora wewe, japokua hainihusu lakini nashangaa mpaka kichwa kinaniuma...Binafsi nimeshangaa mpaka kufikia level ya mwisho ya kushangaa.
Kweli nimeamini kuwa UCHAWI UPO
Hivi mtu kama Ki anakosa pisi kali ambayo haijazaa na ina maisha yake kweli? Yaani anaenda kuoa li mshangazi lililozalishwa watoto wawili na midume tofauti tofauti, yeye hajiulizi kwanini wenzao wamemwaga wino na kusepa?
Huyo ki ni bonge la kiazi!
Na hayo ndio madhara ya kutohudhuria vikao vya wanaume mwisho wa siku unakuja kuyatimba
Mimi mwenzio nimemeza hadi Diclopa!Mkuu bora wewe, japokua hainihusu lakini nashangaa mpaka kichwa kinaniuma...