Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Binafsi nimeshangaa mpaka kufikia level ya mwisho ya kushangaa.

Kweli nimeamini kuwa UCHAWI UPO

Hivi mtu kama Ki anakosa pisi kali ambayo haijazaa na ina maisha yake kweli? Yaani anaenda kuoa li mshangazi lililozalishwa watoto wawili na midume tofauti tofauti, yeye hajiulizi kwanini wenzao wamemwaga wino na kusepa?
Huyo ki ni bonge la kiazi!

Na hayo ndio madhara ya kutohudhuria vikao vya wanaume mwisho wa siku unakuja kuyatimba
Uhuru wa mtu uheshimiwe Aziz K hapo alipo ana watoto kuona mwanamke mwenye watoto kuna ubaya gani? wewe ambae sio kiazi una kipi labda umemshinda Aziz K?
 
Kuna ndugu zenu wa kike wametembezewa kichapo na wanaume huyo hamisa Cha mtoto. Mbona wameolewa shida ni yeye kuwa maarufu

Kuna wadada huku mtaani ni masingle mother na ni Malaya vibaya mno hebu tutajieni wanaume 10 alowah kuwa nao mnaowafahamu
Wataanzania acheni majungu
 
Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya

1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata mke wa kumpa utulivu tofauti na Mobeto

2. Wazazi au ndugu wa Aziz ki kutoonekana siku ya kutoa mahali.
Eng Hersi ndo alisimama kama mzazi,
Hili halikuwa jema
Mama yake Aziz ki yupo Burkina Faso sio mbali ni kufika na kumpa heshima hiyo

Kumbuka hii ndoa ni ya mataifa mawili,
Eng Hersi ni Mtanzania na Mobeto ni Mtanzania, Kwa maana hiyo Eng Hersi anatokea umamani hawezi kusimama upande wa Aziz ki

3. Maisha yatakuwaje baada ya ustaa wa Aziz ki kufika Kikomo
Football ni Kazi ya muda mfupi mno
Labda Mobeto kampenda Aziz ki kisa ni staa lakini nina uhakika Aziz hana misimu 3 mbele akiwa katika form hii

4. Kwanini asingefunga ndoa mwisho wa msimu
Ligi inaendelea key players wanafunga ndoa na wachezaji waandamizi wote wako kwenye harusi na tarehe 17 Kuna mchezo dhidi ya Mashujaa, hapa nawaza

Mapenzi mapya yanahitaji muda, huwezi kuwa na mke mpya uwaze vyema kazi ya physical kama football na ufanye katika form nzuri

Washauri wa Aziz ki hawakukaa nae vyema kumpa madini ya msingi nadhani alikutana na machawa wakampoteza

Mchezaji wa Simba Valentine Nouma alifungwa ndoa ligi ikiwa inaendelea na Sasa sijamuona hata bench Nina Imani Simba itamwacha tu
Labda hii ndoa ni sababu ya mfungo unaokuja mwezi ujao.
 
Back
Top Bottom