Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Wewe kidogo kuna kitu umekiona,nahisi ule ni mchongo ngoja Nifah aje, coz nahisi kuna ishu ya kitown inaendelea.
Mambo ya mjini ni mengi,hata "uraia" unaweza kutafutwa,viambatisho vya maombi ya uraia,inaweza kuwa rahisi kuwanavyo sasa.
 
Hiyo game na mashujaa wala usijali, wanadhaminiwa na GSM wale. Lazima watulie wafungwe
 
Mwanamke life yake huwa ipo 50:50, muda wowote anaweza kutoboa kupitia mbunye yake. Mbunye ni hazina haiozi.
Nimelia sana mkuu🥶😅demu wangu bhana alikuwa anaidaiwa mkopo kwenye microfinance za mitaani Sasa bhana hakuniambia, kimya kimya tu si akaja kuniambia nimlipie deni nikagoma miezi miwili mbele kapata mtu. Kaclear lile deni namimi nikapigwa chini
 
Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya

1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata mke wa kumpa utulivu tofauti na Mobeto

2. Wazazi au ndugu wa Aziz ki kutoonekana siku ya kutoa mahali.
Eng Hersi ndo alisimama kama mzazi,
Hili halikuwa jema
Mama yake Aziz ki yupo Burkina Faso sio mbali ni kufika na kumpa heshima hiyo

Kumbuka hii ndoa ni ya mataifa mawili,
Eng Hersi ni Mtanzania na Mobeto ni Mtanzania, Kwa maana hiyo Eng Hersi anatokea umamani hawezi kusimama upande wa Aziz ki

3. Maisha yatakuwaje baada ya ustaa wa Aziz ki kufika Kikomo
Football ni Kazi ya muda mfupi mno
Labda Mobeto kampenda Aziz ki kisa ni staa lakini nina uhakika Aziz hana misimu 3 mbele akiwa katika form hii

4. Kwanini asingefunga ndoa mwisho wa msimu
Ligi inaendelea key players wanafunga ndoa na wachezaji waandamizi wote wako kwenye harusi na tarehe 17 Kuna mchezo dhidi ya Mashujaa, hapa nawaza

Mapenzi mapya yanahitaji muda, huwezi kuwa na mke mpya uwaze vyema kazi ya physical kama football na ufanye katika form nzuri

Washauri wa Aziz ki hawakukaa nae vyema kumpa madini ya msingi nadhani alikutana na machawa wakampoteza

Mchezaji wa Simba Valentine Nouma alifungwa ndoa ligi ikiwa inaendelea na Sasa sijamuona hata bench Nina Imani Simba itamwacha tu
Kufatilia na ki judge wengine Ni sign za poverty na uswahili
 
Aziz Ki amemuoa Hamisa Mobeto?????? Hili limenipita ila nadhani kapotea.... Hamisa kiroho ni mchafu kupitia majei ma nasibu.
 
Kwahio vijana wa Kitanzania mna muonea wivu Hamisa, mlitaka Aziz awashenyete nyie..?
Embu huo umasikini wivu chuki makasiriko na upuuzi wenu pelekeni kijijini kwenu waacheni waoane...
By the way hapo kwanza Kitaifa tumefaidika na hiyo ndoa...
Duh, dogo una hasira! Mpaka uwapasue hivyo wenzio?
 
Back
Top Bottom