Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Hata mimi najiuliza inakuaje kijana anafunga ndoa bila uwepo wa wazazi wake na ndugu zake. Mahari imelipwa bila wazazi wala ndugu. Huwa ninaamini kuwa Engr Hersi ni mtu mwenye akili kubwa sana , Hekma na Busara, sielewi hili jambo kwanini limekwenda namna hii na yeye kuhusika kama Kiongozi.
Otherwise iwe ni wazazi na ndugu wa Aziz Kii huenda hawakuitaka hiyo ndoa na ndio maana Aziz Kii akaona potelea mbali nitafanya bila wao.

KUTAKUWA NA NAMNA
 
Labda
 
Kufatilia na ki judge wengine Ni sign za poverty na uswahili
Ulishawahi ishi nchi ngapi zilizoendelea?
Fuatilia watu mashuhuri wanavyofuatiliwa mpaka chooni.
Mtu anayejianika maisha yake mitandaoni ajiandae kwa impact zote za pande mbili
By the way hakuna binadamu anayefanya vitu hard 24/7 lazima watu waburudike haswa kupitia habari mtandao
 
Dah,mtuhurumie wazazi jamani.
Stephane mwanangu tumbo la uzazi linauma.
It is not easy to understand it son.but I hope you will make it
 
Mkuu mambo yanabadilika hata Hamisa amepitia Mengi usiyoyajua.

Huenda kajifunza na akaamua kubafilika kuwa Mke Bora.

Aziz ndiye anajua Thamani ya Mke wake.
Mjomba kuna maisha mengine hta ukiamua kubadilika ni ngumu kueleweka we fikiria baada ya Aziz kuoa tu kila ukingia mtandaoni unakutana na picha za hamisa na wanaume aliokuwa anawauzia papuchi na picha zote ni za aibu unawezaje kukaa na mwanamke wa hivyo
Hili liko wazi ukiona mara nyingi hawa wasanii hawaolewi pmj na uzuri wao sio kwamba watu hawataki kuwaoa ila historia na matukio yao ya kila siku yanawahukumu
 
Pointi
 
Mimi naona yupo Sahihi!Maana kipendacho roho! pili naona Ki Aziz aliona kuna future Tanzania anaona Kwao vita aiishi why asiishi hapa na kuwa Raia Mwema?Maana inasemekana Wazazi wake walishafariki sasa kuna shida gani kumuoa Hamisa??Pia wanawake ubadilika sana!
 
Maisha ni mpango wa Mungu sema kama watu wanataka kumaliza career ya jamaa.Bibi harusi kashindikana mpaka kwa wale matapeli wa kikinga huyu mbukinabe ataweza?

Kila la kheri kwake
Sasa wakinga na utapeli tumeingiaje hapo??

Kweli kaka fule akamchukue mobeto amfuge ndani na sisi tumkubalie?? Unataka ashushe brand ya kabila.!! Kweli? 😹😹
 
Back
Top Bottom