Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

Ndoa ya Gerald Hando yaacha majonzi kwa wadada

[emoji23] [emoji23] [emoji23] Miss unaangalia housing ??[emoji86] Uncle yawezekana kaangalia motherboard ladha ya paka (pus***), zinatofautiana sana ile ya kusema nyama ni ile ile huwa tunajipa moyo tu

Ukute inavuta ndaniii kuoa kuna mambo mengi
 
Haha hapo kweli panatia shaka,nna maswali kama buku hivi ila ndio vile tena uncle kashafanya yake sema nini ule ni ukatili wa kijinsia
yaani ndo maana mimi sina mpenzi mpaka uzee huu maana moyo wa mwanaume ni choo cha mavi
 
Ukute inavuta ndaniii kuoa kuna mambo mengi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo magumu sana haya mkuu pengine hata tungekuwa sisi tungefungua "NDUKi" break ya kwanza Mdaula Ubolt anasubiri
 
Huwezi kujua, huenda huyu akabaki kuwa mke, na michepuko wakabaki pale pale na status yao. Sie wanaume wakati mwingine akili zetu hata sisi wenyewe hatuzielewi.
hata mimi naona hajaachwa mtu hapa bado
 
yaani ndo maana mimi sina mpenzi mpaka uzee huu maana moyo wa mwanaume ni choo cha mavi
Haha Miss unatuchana ki Trump Trump sema nini kama zile show za 'no string attached' huwa una perform nishtue maana na mimi ni muumini wa kuto funga Ng'ombe kwa kuamini maziwa na nyama vipo tu
 
Mmmmh kama una presha apo unaweza badilika jina ukaitwa marehemj. Show off zataka moyo. Mm mume wangu nmempost moyoni maana unaweza kuta kamchepuko kake kamekufolo anakulamba kisogo
 
Back
Top Bottom