Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Mmmh unaona hizo mimba anavyozibeba,full kubemenda
Anamkomoa Diddy [emoji1787][emoji1787]

Anamkomoa billionaire

We ngoja mtakuja sikia vilio vya divorce au child support huko mbelenj Mana Yuko resi sana
 
Anamkomoa Diddy [emoji1787][emoji1787]

Anamkomoa billionaire

We ngoja mtakuja sikia vilio vya divorce au child support huko mbelenj Mana Yuko resi sana
Cassie niliona kavishwa pete ya na mwanaume wake
 

No wonder lina feel guilty kutwa kum post [emoji22], alivyokua hai mbona lilikua halim post?
 
Kanye amzidi Jay Z?Unaota
Dr Dre ndo kapagawa akifikiria mpunga atakaolamba aliokua mkewe hao wote Kanye wamemuacha parefu tu.
Kanye west kwa sasa ni Entertainer Tajiri kuliko wote duniani utajiri wake unakadiriwa kuwa 3 Billion, Jay Z kwa sasa hamsogelei
 
Kanye west kwa sasa ni Entertainer Tajiri kuliko wote duniani utajiri wake unakadiriwa kuwa 3 Billion, Jay Z kwa sasa hamsogelei
Hizo story tu,
Kuna kina 50 Cent huku lecheminduroi,kuna Snoop Dogg hawa hawapendi show off ila wana mkwanja mnene sana huyo Kanye Akanye.
Wameinvest na bado wanapiga kazi, sio hip hop tu.wako kila idara, nguo u-Dj, producers, comedians live talkshow, weekend party usiseme. Lakini mademu ni kubumba na kula kona hamna ile tuko pamoja wanajua sio yake ndo mana sa hii wanamcheka tu Kanye,Will Smith nae mpaka akaambiwa live na mkewe ninagongwa na huyu dogo 26 kitambo tu akachill,Dre Ndo kabisaa talaka hii hapa sign akazima
 
Wazungu wanaolewa na ma nigga kutafuta hela tu
We Hiko kidada kina hela wewe. Kuna wakati Kanye alifikia kufilisika mpk akamuomba Mark Zuckerberg a msaidie mpunga anyanyuke. Jamaa akamchomolea ndo huyo bi dada KIM akamgawia mpunga kama wote. Na sidhani kama hii talaka itamfilisi Kanye maana nadhani kale kamama kama hela kuliko Kanye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
THE GAME Yeye alitoka mzima na ma album aliuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…