Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hivi mdogo wake Brandy Yuko wapi .Huyo Ray J hata ndoa imemshinda
Kapata mke mtulivu ila yeye sasa mfyuu
Malaya malaya tu, yule angetakiwa acheze porn tu
Ana sauti nzuri Sana brandy
Naikumbuka track yake ya FULL MOON nzuri Sana