Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Anamkomoa Diddy [emoji1787][emoji1787]

Anamkomoa billionaire

We ngoja mtakuja sikia vilio vya divorce au child support huko mbelenj Mana Yuko resi sana
Cassie niliona kavishwa pete ya na mwanaume wake
 
Hahaahaahaa

Yule B. Sure sijui mshua wake Quincy ( yule mtoto wa kim porter wa kwanza) anasema kim kauliwa[emoji134]

Sasa sijui kweli, ila Diddy mafia, ukiongelea mambo ya kulipeleka mahakamani sijui udai nini fyokofyoko, linakuondoa bila kuacha blemish

No wonder lina feel guilty kutwa kum post [emoji22], alivyokua hai mbona lilikua halim post?
 
Kanye amzidi Jay Z?Unaota
Dr Dre ndo kapagawa akifikiria mpunga atakaolamba aliokua mkewe hao wote Kanye wamemuacha parefu tu.
Kanye west kwa sasa ni Entertainer Tajiri kuliko wote duniani utajiri wake unakadiriwa kuwa 3 Billion, Jay Z kwa sasa hamsogelei
 
Kanye west kwa sasa ni Entertainer Tajiri kuliko wote duniani utajiri wake unakadiriwa kuwa 3 Billion, Jay Z kwa sasa hamsogelei
Hizo story tu,
Kuna kina 50 Cent huku lecheminduroi,kuna Snoop Dogg hawa hawapendi show off ila wana mkwanja mnene sana huyo Kanye Akanye.
Wameinvest na bado wanapiga kazi, sio hip hop tu.wako kila idara, nguo u-Dj, producers, comedians live talkshow, weekend party usiseme. Lakini mademu ni kubumba na kula kona hamna ile tuko pamoja wanajua sio yake ndo mana sa hii wanamcheka tu Kanye,Will Smith nae mpaka akaambiwa live na mkewe ninagongwa na huyu dogo 26 kitambo tu akachill,Dre Ndo kabisaa talaka hii hapa sign akazima
 
Wazungu wanaolewa na ma nigga kutafuta hela tu
We Hiko kidada kina hela wewe. Kuna wakati Kanye alifikia kufilisika mpk akamuomba Mark Zuckerberg a msaidie mpunga anyanyuke. Jamaa akamchomolea ndo huyo bi dada KIM akamgawia mpunga kama wote. Na sidhani kama hii talaka itamfilisi Kanye maana nadhani kale kamama kama hela kuliko Kanye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Lamar Odom -unga/kufulia NBA

2.Bruce jenner-ushoga

3.Robert Kardashian -kifo

4.Ben Simmons-nyota kufifia NBA (siku hizi hata haeleweki)

5.Ray J-kapotea kimziki

6.Tyga-sijui anafanya Nini Sasa nyota imefifia

7.Travis Scott-ndio anapotea potea kwa mbaaali Sana.[emoji1]

8.Kris Humphries -hana hamu na kim ,akapotea mazima NBA

9.Scott Disick-kageuzwa chawa wa familia Hana carrier yoyote inayoeleweka zaidi ya kukesha na makamera.

10.Tristan Thompson -yupo yupo tu Ila sio kama zamani hata ule urafiki na LeBron umepungua .

11.Kanye west-uchizi umetamalaki

Hao no baadhi tu

The Kardashian kurse is real[emoji1]
THE GAME Yeye alitoka mzima na ma album aliuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom