Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

Kanye nae Ni bilionaire na hata huyo Kim nae Ni bilionaire so hapo Kanye ndie ataumia zaidi

Unless huyo kims awe muungwana tu
MKUU kimu sio billionaire anavipesa Tu vya kawaida ......lakini ye ni balaa sanaaaaaaa
 
Unaanzaje ku introduce hilo swala kwa mwanamke wa kibongo, atakuuliza ina maana una mpango wa kuniacha au?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maana hapo mpaka kumuoa tu kashajifulisha sana nguo na kujipikilisha kwako. Na haamini kama ndio umemuoa
 
Unaanzaje ku introduce hilo swala kwa mwanamke wa kibongo, atakuuliza ina maana una mpango wa kuniacha au?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Maana hapo mpaka kumuoa tu kashajifulisha sana nguo na kujipikilisha kwako. Na haamini kama ndio umemuoa
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 anajilipa. Na kweli ukimuambia tu anaanza kuhisi humpendi. Na atajiliza liza vilio vingi.

Tatizo mahusiano haya yamekuwa ni kama zile Car Parking Lots zilizoandikwa "PARK AT YOUR OWN RISK"

ila kama unazo mali nyingi (utajiri) basi ni vyema kabla ya ndoa uchukue mwanasheria na uandae PRENUPTIAL AGREEMENT.

Hii itakusaidia sana kufurahia ndoa bila kuwa na mashaka. Maana YAJAYO YANAWEZA YASIFURAHISHE.
 

#1
#4
#8
#10
Wazee wa NBA chalii... Walipotea mwenyewe tu kama wengine wanavyopotea katika career zao. Wasiwasingizie The Kardashians.


Mbona JAMES HARDEN a.k.a The Beard yeye hapotei kwenye NBA, anazidi kufanya vizuri kila msimu licha ya naye kuwahi kutoka na KHLOE KARDASHIAN.


#2 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimecheka mpaka basi!
#9 - huyu jamaa huyu πŸ˜‚
#11 - huyu yeye uchizi wake kauanza kitambo sana even before getting himself kept up with the Kardashians.


Ulivyomaliza na KURSE = CURSE umeua kabisaaa kama wenyewe vile Familia Yao kwenye majina ya Kike likianza na herufi "C" wanaicha wanaweka "K"


Hata "Curse" wao wangesema "Kurse"


cc: Karucee , nimekutag sababu ulisema unapenda Basketball, maana NBA is the de facto pinnacle of basketball.
 
Ni kweli maana uasi huanzia ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ !!! Kabla ya ndoa aah hamna mwanamke bora na wa mfano kama yeye!
 
Ni kweli maana uasi huanzia ndani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ !!! Kabla ya ndoa aah hamna mwanamke bora na wa mfano kama yeye!
akikataa Prenup Agreement basi unakuwa ushamjua ni wa kundi gani... So, Park at your own risk!


"Prenup Agreement" ipo kwa ajili ya kuwalinda wenye mali nyingi pale wanapotaka kuingia kwenye ndoa.


Pre-nup inawalinda wenye mali nyingi dhidi ya matapeli wa ndoa.


Money Heist katika mwamvuli wa Marriage.
 
Japo namiliki jaba 2 na kajiko ka mchina ila Pre-nup muhimu πŸ˜‚
Kwenye Pre-nup Agreement yenu jitahidi kuandika kuwa Kama ikitokea siku mnaachana kwa talaka, wewe ndiye utakayebaki na majaba yote, ila yeye utampa asilimia 20% ya maji yote yatakayokuwa katika hayo majaba mawili, Lakini majaba yote yatabaki kwako.


Pia hiko Kijiko cha Mchina, andika wewe utabaki na Jiko Lako ila yeye utampa utambi mmoja na asilimia 12% mafuta yatakayokuwemo kwenye jiko kama ikitokea siku mnaachana kwa kutalikiana (talaka).


Kisha analeta mwanasheria wake, nawe unaleta wako, halafu mnasaini. Pia msisahau kuweka ndugu kadhaa kama mashahidi.
 
Sawa kabisa kiongozi, atakabidhiwa utambi na mfuniko wa jaba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…