Ndoa ya Kanye West na Kim Kardashian inakimbilia kwenye talaka

We mcheki Harden mzee anaishiaga kupata u mvp tu

Ila Kila mwaka anakosa ring katika stage nzuri hasa semi finals au au conference finals

Na sijui nani alimwambia avae jezi namba 13 [emoji1]

Ukimnunua harden hupati kombe [emoji1]unakumbuka finals ya Miami heat na Oklahoma City[emoji1]
 
Sawa kabisa kiongozi, atakabidhiwa utambi na mfuniko wa jaba tu
😂😂😂😂 eti mfuniko wa Jaba.... Mkuu hutaki mtu akutapeli kwa utapeli uliojificha katika mwavuli wa ndoa.

Ukiwa na mali nyingi na ukiingia ndoani bila Pre-nup Agreement, hapo siku ukimkoromea kidogo tu anakutishia kuwa ataenda mahakamani kudai Talaka.

ila ukipiga Pre-nup kabla ya ndoa, mkiingia kwenye ndoa anakuwa hana vitisho vya kuachana.

Hivyo unatulia naye unafaidi ndoa, cha muhimu umpende na umjali mwanandoa mwenzio, usimkere.
 
Ahahahaha hata kama alikuwa na nia ovu anatulia tu 😂 maana vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Unataka Harden aachane na jezi namba 13 kisa tu ya ile the so called "The curse of number 13" ....

Mkuu, Curse ya namba 13 hii huwa ni Uzushi tena ni Conspiracy Theory tu.

Huu "Uzushi wa kuamini kuwa Namba 13 ni namba ya Laana" hauna tofauti na yale mambo ya uzushi eti mtu anaamini kuwa akivaa nguo nyekundu atapigwa na radi.
Au mvua ikinyesha na jua linawaka eti simba anazaa.

Mbona Thomas Muller amechukua FIFA World Cup 2014 na Timu ya Taifa ya German huku akiwa anavaa Jezi Namba 13.
 
Ahahahaha hata kama alikuwa na nia ovu anatulia tu 😂 maana vigezo na masharti kuzingatiwa
wife kila akileta ki-bass na vitisho halafu akikumbuka tu ile Pre-nup aliyoisaini hapo anatuliza munkari, anatulia tuliiii anakuwa mpole.

Tunasuluhisha mgogoro, tunaendelea na ndoa.
 
Kweli asee[emoji848][emoji848]

Kama huyo Scott Disick si alikuwa mume wa Kourtney Kardash siku hizi toka kapigwa kibuti, yuko kama mwehu nae hana ishu, full kuzurura na ile family kwenye mitoko ya dinner[emoji848]

Hivi alikuwa hana kazi?

Daah Kanye aliambiwa lkn kabla ya kumuoa huyo Kim, kuwa hiyo family ni nuksi hakusikia!
 
Hahahahahah anayetoa hio kauli hajui japo hata million 100 tu inafananaje ikiwa kwenye account maana haijawahi kuwepo! [emoji23][emoji23][emoji23]
wabongo wana dharau sana yani.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lakin scott nae ana vipindi vyake pia naona ana pesa tu pia
 
Unamkumbuka Michael balack was Chelsea

Unamkumba jens lehman was aseno
 
Huyo ni mdogo wake anaitwa Kyle ......aliwai kutoka na rappa mmoja anaitwa tiger ...........lakini sio Kim .........
Kim ana hela ndefu kuliko Kyle Jenner
 
Combs ndoa hataki hata kuisiki!

Sasa kumpost daily Kimbley Porter ndo nini, wakati akiwa hai waala[emoji57]
Kim Porter ndio alikuwaga kipoozeo Cha jamaa akitibuliwa na akina Jenifer Lopez na Cassie anaenda kujidekeza kwa Kim Porter .

Yaani Kama mdoli wake

Na yule Kim hakuwaga na ishu za kumuingiizia mkwanja carrier yake ilifeli .

So akabaki kuwa kipoozeo Cha Diddy

Infact alikuwa anamuelewa Sana Diddy .

So Kim kadanja Diddy Hana tena kwa kujidekeza kwake mapenzj yakimzingua

Ndio maana unaona anampost Sana Kim eti anamiss
Anajiita Mr love

Sijui anamkula nani saivi labda mastripper au yule manager wake mzungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…