Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
We mcheki Harden mzee anaishiaga kupata u mvp tu
#1
#4
#8
#10
Wazee wa NBA chalii... Walipotea mwenyewe tu kama wengine wanavyopotea katika career zao. Wasiwasingizie The Kardashians.
Mbona JAMES HARDEN a.k.a The Beard yeye hapotei kwenye NBA, anazidi kufanya vizuri kila msimu licha ya naye kuwahi kutoka na KHLOE KARDASHIAN.
#2 [emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mpaka basi!
#9 - huyu jamaa huyu [emoji23]
#11 - huyu yeye uchizi wake kauanza kitambo sana even before getting himself kept up with the Kardashians.
Ulivyomaliza na KURSE = CURSE umeua kabisaaa kama wenyewe vile Familia Yao kwenye majina ya Kike likianza na herufi "C" wanaicha wanaweka "K"
Hata "Curse" wao wangesema "Kurse"
cc: Karucee , nimekutag sababu ulisema unapenda Basketball, maana NBA is the de facto pinnacle of basketball.
Ila Kila mwaka anakosa ring katika stage nzuri hasa semi finals au au conference finals
Na sijui nani alimwambia avae jezi namba 13 [emoji1]
Ukimnunua harden hupati kombe [emoji1]unakumbuka finals ya Miami heat na Oklahoma City[emoji1]