mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Nimeshangaa kweli unakubalije kutafutiwa mwananamke chini ya miaka 19 halafu sio bikra...? Halafu alikaa kwenu kwa muda wa miaka 4 nyumbani kwenu kukusubiria[emoji23][emoji23]. Jamaa anajipa moyo tu huo mwanamke ana kaumalaya flani hivi kalichojificha.Maamae comment yangu ya juu nilisema binti hakuwa bikra na kweli umekuta ni used [emoji23][emoji23][emoji23] hawa wanawake hawa sio poa
Sema Mkuu kama unajifariji flani hivi. Yaan binti wa miaka 18 ambaye ameishi kwenu tangu akiwa na miaka 14 umemkuta sio bikra[emoji23][emoji23][emoji23] hapo umeuziwa mbuzi kwenye gunia. Sema binti alikua anasubiria kwa kua una vicentNi kweli. Lakini kitu used chenye hali nzuri inafaa sana.
Kwani gari unalotumia Mku, si used? Au ni brand new? Mbona bado limekuheshimisha na unadunda nalo kwa muda mrefu tu?
Anyway, nani kakudanganya kuwa mwanamke bikra pekee ndiyo hujenga familia bora? Au kila mtu na perception yake?
Au mzee baba wa huyo jamaa ndo alipiga tunda hilo 😂😂😂Nimeshangaa kweli unakubalije kutafutiwa mwananamke chini ya miaka 19 halafu sio bikra...? Halafu alikaa kwenu kwa muda wa miaka 4 nyumbani kwenu kukusubiria[emoji23][emoji23]. Jamaa anajipa moyo tu huo mwanamke ana kaumalaya flani hivi kalichojificha.
Pytuuu mbaka!.Au mzee baba wa huyo jamaa ndo alipiga tunda hilo 😂😂😂
Don't take it seriously Mzee, n utani tuu ndo maana nikaweka na hizo emojiPytuuu mbaka!.
Bora useme aliliwa na vijana wenzangu lakini siyo mzee wangu!.
Ni laana kubwa na ni watu wanaoheshimiana mno!.
Hahaha, Mkuu hapa nilikuwa nazungumzia namna gani nilivyopata familia bora.Sema Mkuu kama unajifariji flani hivi. Yaan binti wa miaka 18 ambaye ameishi kwenu tangu akiwa na miaka 14 umemkuta sio bikra[emoji23][emoji23][emoji23] hapo umeuziwa mbuzi kwenye gunia. Sema binti alikua anasubiria kwa kua una vicent
Tuanzie kwako umeanza kufanya mapenz ukiwa ma umri gani ? Na ulikuwa unafanya na watu wa umri gani?Nimeshangaa kweli unakubalije kutafutiwa mwananamke chini ya miaka 19 halafu sio bikra...? Halafu alikaa kwenu kwa muda wa miaka 4 nyumbani kwenu kukusubiria[emoji23][emoji23]. Jamaa anajipa moyo tu huo mwanamke ana kaumalaya flani hivi kalichojificha.
Nikateremka mpaka kwenye ziwa lake la mkono wa kulia, mnara ukanasa H+.
Niliishia kula mzigo, ijapokuwa hakuwa bikra ila walau chombo hakikua used sana.
Irudiweee 🔊Mbona umeruka stori, ulipoishia sio ulipoendelea.
Yaani ume fast-forward.
Au nimekosea ndugu zangu..!
Kweli kabisa nilitaka kusema ivi.Mbona umeruka stori, ulipoishia sio ulipoendelea.
Yaani ume fast-forward.
Au nimekosea ndugu zangu..!
Ningeiendeleza lakini Wakuu wanalalamika kuwa ninachelewa.Mbona umeruka stori, ulipoishia sio ulipoendelea.
Yaani ume fast-forward.
Au nimekosea ndugu zangu..!
Kweli kabisa nilitaka kusema ivi.
Nilitamani kusoma zaidi nini kiliendelea.
Lakini tumepata somo.
Hapo hapo kwao alipokua amemsusaSo the girl had done sex at 14?Au alifanyia kwenu when you were away!
Fatma,Lo!. Well, I am happy that since when you got married you have never cheated on her and you look forward to shunning any kind of cheating.
Poti kama linatunza joto la chakula hakuna shida.Yaani kusubiri miaka yote hiyo bado umekuta poti limeamka na kiporo...
[emoji23][emoji23][emoji23] ndo maana akamkomalia mwanae amuoeAu mzee baba wa huyo jamaa ndo alipiga tunda hilo [emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu kijijini wakisikia mtu yupo chuo anasoma lazma wanajua atapata kazi zuri atakua na pesa.Hahaha, Mkuu hapa nilikuwa nazungumzia namna gani nilivyopata familia bora.
Ishu ya visenti hakuna aliyekuwa anajua hata kama nina kazi. Mke nimeletewa ndo kwanza nipo mwaka wa pili.
So, ishu ya visent inakosa logic!.
Kama una laini ya halotel nenda google Chrome search web ya freebasics.comNaomba unielekeze hii mkuu