mjusilizard
JF-Expert Member
- Nov 7, 2019
- 1,027
- 1,869
Huu usimuliaji wako mtamu sana sana, hauchoshi kuusoma na unafundisha sana, nimekumbuka uandishi na usimuliaji wa rabboni.283077, keisangora.216159 na relief-mirzska.438582/, wote niliowataja ninawatakia maisha mema sana sana, mnanipa moyo sana!!!