Sharamdala
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 3,558
- 6,538
Dansi, bendi Twanga pepeta.Huyo Mbutu alikuwa msanii wa nini mbona simjui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dansi, bendi Twanga pepeta.Huyo Mbutu alikuwa msanii wa nini mbona simjui
Humjui Luiza wa enzi hizo wewe!!Nani amtongoze luiza mbutu,angekuwa anavutia wangeshaachana kwa wivu
Hajawahi kuwa mrembo zaidi ya kukata viuno vinavyotia nyegeHumjui Luiza wa enzi hizo wewe!!
Sio WANANDOA
Aika na Nahreel. Nahreel kaamua kuwa mpole ili waishi Kwa amani.
She's a cheater au ana shida gani?Aika na Nahreel. Nahreel kaamua kuwa mpole ili waishi Kwa amani.
Hope wataendelea kuwa mfano muda mrefu sana.
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Huwa tunawaona tunakausha,Ndoa bwana ina mengi mno, waone tu watu wanatembea njiani lakini humo ndani mwao hakuko poa kabisa.
OngezeaLUIZA MBUTU
Mwandiko wake tu unadhihirisha bado ana ubwabwa wa shingo.Umekuja mjini juzi tulia tu fuatilia uzi mwishoni utamjua tu
Hawa umri wao wanazaliwa kabisa na ndoa ya Lwiza Nyoni .
Jamaa mpiga drums wa alikuwa twanga pepeta na bibie muimbajiNiko mid twenties. Mbona kina Bi Kidude na Mbaraka Mwinshehe nawajua. Ukiwa msanii kazi zako si zinadumu, yani hapa nataka kutafuta hizo kazi zake. Au ndio wale wasanii wana headlines nyingi kuliko kazi, au ndio hasara za kutotunza kazi za sanaa
Kitambo mnyarwanda anataka mambo makubwa na mwamba Hana helaNdoa ya AY chali?
Aloooh!! Pole yake kwakweli.Kitambo mnyarwanda anataka mambo makubwa na mwamba Hana hela
Aika ndo kaamua kuwaa mpoleeee, nahreel ni cheater, alikua ana date na Rosa ree, then akaja ku date na dada fulan wa chuo CBE, had aika alitokaga public kuhemkwa.Aika na Nahreel. Nahreel kaamua kuwa mpole ili waishi Kwa amani.
Hope wataendelea kuwa mfano muda mrefu sana.
Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Unamfaham msanii WA kuitwa NINA alikuwa pisi Kali balaa.Nani amtongoze luiza mbutu,angekuwa anavutia wangeshaachana kwa wivu