Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Ndoa ya Luiza Mbutu ni ya mfano

Ndoa bwana ina mengi mno, waone tu watu wanatembea njiani lakini humo ndani mwao hakuko poa kabisa.
Nami niungane na mleta mada kumpongeza sana Luiza Mbutu na mwenzi wake, wajaliwe kila jema kwenye ndoa yao.
 
Aika na Nahreel. Nahreel kaamua kuwa mpole ili waishi Kwa amani.
Hope wataendelea kuwa mfano muda mrefu sana.

Sent from my Pixel 4 XL using JamiiForums mobile app
Aika ndo kaamua kuwaa mpoleeee, nahreel ni cheater, alikua ana date na Rosa ree, then akaja ku date na dada fulan wa chuo CBE, had aika alitokaga public kuhemkwa.

Labda useme Aika ni mtu km ana tabia ya, ubabe fulan na ujuaji. Hvyo sawan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom