GENTAMYCINE niliposema hapa JamiiForums zaidi ya mara mbili (Threads zangu zitafuteni) kuwa Ndoa ya Haji Manara na Zaylisa haitodumu hata Mwaka mmoja kwa tabia zake Chafu Haji Manara ambazo Watoto wa Mjini wenzake na hasa Washikaji zake wa Ilala Bungoni na kwao Buguruni Malapa (japo sasa anaishi Ushuani) tunazijua ndani nje si mliniona Mzushi na Kipa Katoka?Aisee walivokuwa wanajionesha wanapendana Hadi nikajiona yatima WA mapenzi mie
Watu ni wanafiki jamani
Kidogo na Mimi nimvamie mtu
Kumbe hakunaga mapenzi Niko sawa.nikajua Mimi mlemavu WA mapenzi .kumbe wote bila bila Tu mfyuuu
unamjua Takadini.et eminem hahahaha we jamaa
Marriage is a scamKataa ndoa
Ewaaaaaaa. Mtu anakusimangia hadi NIDA. Afu anazisimanga hadi pedo zetu aisee😅😅Nilichojifunza ni kuwa Haji ni mnyanyasaji, kibri na dhereu kwa hao anao waoa. Anaamini sana kwenye material things na sio hizo ndoa, hawapendi anataka wamsujudie kwakuwa anawatoa kwenye umasikini na kuwapa umaarufu.
Hana busara kwani kwa umri wake alitakiwa kumaliza haya matatizo yake kimya kimya kistaarabu.
Si awafuatage wenzake wenye mbele na nyumaNadhani lengo ni kuonyesha kuwa huyo mama alikuwa ana nyuma tu hana mbele. Sorry, i mean hana mbele ana nyuma, mmhh.. jamani.. ana mbele na nyuma. I am confused. 😉
Kwahiyo Manara anashutumiwa kwa kutodindaLeo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali
Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani
View attachment 3298236
View attachment 3298237
VRA + Fegi + Mirungi + Pancha ya Mwarabu = KudindalessKwahiyo Manara anashutumiwa kwa kutodinda
😂😂😂ina onekana huwa ana andika mema yote kwenye book kama kumbukumbu siku akitibuka ana funua kama siraha 😂😂Msaada tunapeana kwa sababu ya mapenzi tu. Sio excuse ya kumfanyia mtu yasiyofaa.
Ila Manara kanichekesha, eti ulikuwa huna hata NIDA. NIDA nayo ni ya kumsimangia mtu?
Shida iko hapo, je wenye mbele na nyuma wanamtaka?Si awafuatage wenzake wenye mbele na nyuma
Neno hili umeongea wanaume tulichukue.Zaylisa hata bila kuuliza kwa jirani anaonekana ana kiburi Cha dunia yake
Hawa wanawake tujitahidi sana kuwa na Hawa average utaishi kwa amani sio unakuwa na mwanamke unapambania penzi hadi jamii inakuonea huruma
Umezunguka kumbe na wewe ushapoozeshwa na ushindi wa jana, ukasahau ya TL.Hao wanatumika tu hakuna lolote kuzima issue ya Tundu Lissu kukamatwa na humohumo upande wa jangwani kupooza ushindi wa Mnyama mkali ili usiongelewe, msihadaike
Haji ameishiwa?...na hao wanawake wengine 5+ wote walimuacha kwa sababu ameishiwa...sidhaniMwanamke alifuata Pesa,itakua jamaa kaishiwa.Ukiwa na pesa hakuna ugomvi mkubwa wa hivyo
Hivi Nikisema 😀Samia na wasira ni pipa na mfuniko inakua imekaaje kimantiki naona kamaSlay Queen au socialites yoyote wa Instagram au platform yoyote sio mwanamke wa kuoa ni kupiga pumbu na kuamsha.
Ila uzuri wote wamekutana pipa na mfuniko.
Birth certificate Tu hakuwa nayoMsaada tunapeana kwa sababu ya mapenzi tu. Sio excuse ya kumfanyia mtu yasiyofaa.
Ila Manara kanichekesha, eti ulikuwa huna hata NIDA. NIDA nayo ni ya kumsimangia mtu?