Sema Binti yetu naye kamdomo anacho
Kumbe kidudu cha Manara hakidindi na hamsemiLeo imekua siku chungu kwa Manara, wakati Simba akivuka robo fainali kwenda Nusu Fainali
Mke wake nae kavuka kutoka ndani ya nyumba mpaka mtaaani
View attachment 3298236
View attachment 3298237
👍Wenzenu wanafanya promotion ya matangazo wewe unakuja kuandika upuuzi huku
😂😂😂Shenzi sanaNo Reform No Erection
nini..?
Mmh amezidi. Angeachaga mambo yake yaishie kimyakimyaManara ni mzaramo orijino
Na wanawake wote wanamkimbia. Ajiulize kwa sehemu yake ni wapi anakoseaHao walikuwa wake zake kabla hajajulikana Duniani huyo baba kaanza kutoa taraka mda 😁😁😁
Pia alikuwa akiishi nao wote kwao kwa mzee wake Manara
Bina nimekumiss jamani.Kwa manara ,hakuna hyo kitu
Huyu Bab ana shida ndoa sita zote Kashindwa
Watu wanatafuta pa uhakika wa ugali hata kama anajua baadae ni masimango na akipata ka umaarufu roho nyeupe🤨Na wanawake wote wanamkimbia. Ajiulize kwa sehemu yake ni wapi anakosea
Ila wanawake; hapa kuna ke mwingine na yeye ameshajiandaa kuolewa na Manara. Mmh awe tu na NIDA yake na passport; masimango yapungue au yapande viwango kidogo
Ila chamoto wanakipata pia...Watu wanatafuta pa uhakika wa ugali hata kama anajua baadae ni masimango na akipata ka umaarufu roho nyeupe🤨
Mtu ana sukari,anadindaje sasa?Kumbe kidudu cha Manara hakidindi na hamsemi
Kwahiyo kabla ya kuachana walikuwa wanalombana vipi?Mtu ana sukari,anadindaje sasa?
Inashushwa thamani na watu Gani? Ndoa bado ina thamani sema tu tatzo waoaji ndio mara nyingi wanakurupuka wakati wa kuowa kwa kuacha wanawake wenye utulivu na kuoa Malaya we huwezi kwenda kuoa mwanamke ametembea na wasanii wote maarufu halafu kila siku mnaalikana kwenye shuhuli zenuTaasisi ya ndoa inazidi kushuka thamani kila kukicha!
KabisaaaChairman Ile ni kenge!
Balaa, na Manara nae kaa sio mwanaume vile mdomo kama chamber ya nnya.Sio kamdomoo dada,yule ni mswahili haswaa,pale kakutana na kiboko yake,wa mbagala maana yeye si kariakoo na magomeni!!!