Loading failed
JF-Expert Member
- Sep 14, 2023
- 3,003
- 8,385
Kwa lipi? Kama ni umarufu aliupata tangu yupo na MingoclassicTwende mbele turudi nyuma
Zai ana kila sababu ya kumshukuru Manara.
Hakuna kiki ya hivyo ya kuvuana nguoHao wanatumika tu hakuna lolote kuzima issue ya Tundu Lissu kukamatwa na humohumo upande wa jangwani kupooza ushindi wa Mnyama mkali ili usiongelewe, msihadaike
Wanawake wa kawaida wakoje?Hawataki kuoa wanawake wa kawaida
Ambao hawana mambo mengi ya umaarufu na mitandao kama wengine wake zao kina Gabo wake zao wapo busy na biasharaWanawake wa kawaida wakoje?
Kuna mtu anapenda mitandao kama mke WA gabo.kila kitu chake anaanika mtandaoni.Ambao hawana mambo mengi ya umaarufu na mitandao kama wengine wake zao kina Gabo wake zao wapo busy na biashara
Kiburi anacho Manara, si kwa idadi ya wanawake alioachana nao.Kwa hiyo hao wanawake wooote anao oa na kuachika ni sababu wana viburi?π
Msaada tunapeana kwa sababu ya mapenzi tu. Sio excuse ya kumfanyia mtu yasiyofaa.Yani baadhi ya wanaume wakisaidia wake zao inakua fimbo kinoma
Kwa kweli ifike mahali ajiulize tu yeye mwenyewe; ni wapi pana shida kwa upande wake. Kwa sababu kwa nini kila ndoa yako inakufa tu?Huyu baba nadhani ana kosoro kubwa kuliko tunavyo dhaniπ€¨
Anachukua pisi kali afu anazipeleka mjini insta.. Ila anawasaidia sana kuwabrand jamaniIfikie hatua Manara aoe mke wa kawaida tu majigambo afanye mwenyewe tu peke yake
Kuna la kujifunzaAnachukua pisi kali afu anazipeleka mjini insta.. Ila anawasaidia sana kuwabrand jamani
Ni sehemu ya mapenzi tu jamaniKuna la kujifunza
Lakin sawa yupo busy na familia yake ,wake wengi wa mawaziri na wabunge wametulia tuliiiiKuna mtu anapenda mitandao kama mke WA gabo.kila kitu chake anaanika mtandaoni.
Mfano ni mke WA January makamba dada hana hata whatsup group
HehehehehAnachukua pisi kali afu anazipeleka mjini insta.. Ila anawasaidia sana kuwabrand jamane
Nimecheka ππMsaada tunapeana kwa sababu ya mapenzi tu. Sio excuse ya kumfanyia mtu yasiyofaa.
Ila Manara kanichekesha, eti ulikuwa huna hata NIDA. NIDA nayo ni ya kumsimangia mtu?
Nadhani lengo ni kuonyesha kuwa huyo mama alikuwa ana nyuma tu hana mbele. Sorry, i mean hana mbele ana nyuma, mmhh.. jamani.. ana mbele na nyuma. I am confused. πMsaada tunapeana kwa sababu ya mapenzi tu. Sio excuse ya kumfanyia mtu yasiyofaa.
Ila Manara kanichekesha, eti ulikuwa huna hata NIDA. NIDA nayo ni ya kumsimangia mtu?
et eminem hahahaha we jamaaEminem naye akaushage Sasa.