Ndoa ya Marekani ya Mtangazaji Maulid Kitenge yadaiwa kuaota mbawa baada ya kumuoa Mbunge Nusrat Hanje

Maulidi amechanganya, baba ni mnyamwezi, mama ni mtu wa Lindi. Wana uhusiano wa kindugu na mbunge wa Mtama kupitia mama.
Mama yake Mbunge wa Mtama ni Mnyiramba wa Singida, actually jina kamili la Nape ni Napegwa(Nimepewa)...jina la Kinyiramba na alizaliwa wakati Mzee Nnauye akiwa Mkuu wa Mkoa wa Singida miaka hiyo
 
Maulid yy anachungulia fursa tu
Namkubali kwa hilo 😄

Ova
Ila mzee wa Kino hadi sasa hivi mimi niko upande wa Maulid. Sioni kosa lake. Ninachoona ni wivu tu wa wanawake baada ya mwenzao kuongezeka. Huu upepo utapita na wanawake zake watatulia. Sema najiuliza Maulid alitumia mbinu gani kumnasa kada wa CHADEMA Nusrat?
 
Nusrat mwepesi sana.....
Kwanza miaka ya hivi karibuni
Nusrat ndy kaanza kuonekana,kupendeza,kujua kuvaa
Kwa jina la maulid,nusrat lazima anase kwa kitenge this kweli kitenge hana kosa wanawake wenyewe wanashoboka naye

Ova
 
Maulid ikiwa atakuwa na utitiri wa ndoa basi ni nne tu, ama hayo mengine ikiwa utatakiwa kuthibitisha utaweza? Au nawe wataka ndoa na Maulid?
Na uzuri wa Kitenge hajaweka sana maisha yake binafsi hasa ya kifamilia mitandaoni..
 
Hizi ndio zinaitwa ndoa za kimaslahi, kama ni Sunna kwanini waoane kwa Siri?🤣🤣🤣🙌
Ila kwa huyo mwanamke kimarekani tena kitakachomkuta kifupi kwanza asije kanjaga marekani akitua tu polisi wa Marekani wanamdaka na kumsweka ndani .Kuachana na mwanamke wa Kimarekani mziki wake sio sawa na huku uswahilini kwetu unaamka unasema kuanzia sasa simtaki.Shughuli ya mali mgawanyo lazima ilipuke huna mali jela inakuhusu Hawakuachii kuwa nenda bure.Halafu cheating kwa Mwanamke wa kimarekani huchukulia kwa uzito na ni kosa kubwa mno

Sasa hivi Kitenge kifupi kwa marekani hata kama passport yake haijagongwa PI yaani Prohibited Immigrant ajihesabu tu kuwa ni Prohibited Immigrant Marekani hilo ndilo.la kwanza anatakiwa kulijua.Asije kannada Marekani milele. Recoding zao wale hazifutiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…