Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge nenda kasearch hanjenusrat, na wamarekani nenda page ya instaWa marekani na wengine wote, si tumeambiwa ndoa ya jamaa ina branches nchi nyingi
Nusrat mwenyewe ni Walakini Mkubwa. Kitenge mwenyewe anasubiri pale.Nusrat akiona yanayoendelea kule insta atamuwekea uwalakini mkubwa sana huyu jamaa
Hicho ndiyo ninachopendea uislam, naukubali uislam sababu ya wanawake zao tu na si kingine. Wameweza sana kuwafinya na kiwatuliza wanawake, unabaki unajichotea tu kama kumbikumbi.Wanawake wa kiislam hawana shida,washazoea kuwekwa mafungu
Insta nimeipa likizo inanmalizia bandoMbunge nenda kasearch hanjenusrat, na wamarekani nenda page ya insta
Pole najitolea kukulipia unlimited ya mwezi.. stay tunedInsta nimeipa likizo inanmalizia bando
Nyapu nayo ni system kamili ile mkuu, ichunguze vizuri. Ina vikorokoro vingi sana vinavyofanya kazi kwa kutegemeana kama system nyingine zote.Wakawa wanasema ni mtu wa system
Kabla ya radio one alipita gazeti la Majira.Akaingia kijanja janja DSJ course ya journalism.. papu radio one
Na hajawahi jiendeleza hadi leo.
Achana na score zake za shule, hizo zilishindwa kumzuia asitoboe maisha na zilishindwa kum prove kuwa zero kweli.Ni mzee, born 1975. Nakumbuka aliishia form four pale al-haramain pale kariakoo akapata DIV ZERO.
HahahahaNyapu nayo ni system kamili ile mkuu, ichunguze vizuri. Ina vikorokoro vingi sana vinavyofanya kazi kwa kutegemeana kama system nyingine zote.
Kwa hiyo wake watano kwako ni mafanikio?Achana na score zake za shule, hizo zilishindwa kumzuia asitoboe maisha na zilishindwa kum prove kuwa zero kweli.
Sasa hivi mtambua kwa fursa na mafanikio yake.
Wake wa aina gani?Kwa hiyo wake watano kwako ni mafanikio?
Huyu Si ana wake 3 hapa Mjini... Huyo wa Marekani wanne.... Sasa Nusrat ni mchepuko! Jamaa anajua kutafuta Hela!
Labda hawamjui mwaduda. 😂Huyo Nusrat mwenyewe chiiiiiizi ....ukisikia chizi mpz ndio huyu sasa .....Hana akili hata kidogo
Kwanini bint?.Huyo Nusrat mwenyewe chiiiiiizi ....ukisikia chizi mpz ndio huyu sasa .....Hana akili hata kidogo
Ndio maneno ya watu wenye dhikiSi huwa mnasema ni upinde!
Huyu Si ana wake 3 hapa Mjini... Huyo wa Marekani wanne.... Sasa Nusrat ni mchepuko! Jamaa anajua kutafuta Heuxhaga