Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

As far as marriage is concerned, I see some people are misusing the word one flesh intentionally or unknowingly.

What does the Bible mean when it says a married couple becomes "one flesh?"​

The Bible uses the term “one flesh” 5 times: (Gen 2:24)(Mt 19:5-6)(Mk 10:8)(1 Cor 6:16)(Eph 5:31). It is first used to describe the relationship between Adam and Eve in (Gen 2:24) “Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.” The word “cleave” comes from the Hebrew word “dabaq” which is primarily the noun for “glue.” In other words, when a man and woman marry, they become “glued” to each other.

A husband and wife are “glued,” becoming “one flesh” in several ways. The primary way is through sex. In fact, in Bible times, a man and woman entering into marriage were not “officially” married until they had sex. We can see examples of this in the Bible with Isaac (Gen 24:67) and Jacob (Gen 29:21-30). God created sex ONLY for a man and woman in a marriage relationship (Gen 1:28)(1 Cor 7:1-2)(Heb 13:4)(Prov 5:15-20).

In addition, the Bible speaks of marriage as a “covenant” (Mal 2:14)(Prov 2:17). A covenant means an agreement or contract between two parties. When we enter into a marriage relationship, we are entering into a lifetime contract with our spouse: “until death do us part.” This lifetime relationship is compared to Christ and His church in (Eph 5:22-33). I believe this is also a picture in many ways of our relationship as believers to Jesus Christ, with Him as the groom and we as His bride (Rev 21:9)(Rev 19:7-9)(Mt 9:15)(Mt 25:1-13)(Jn 3:29). The Bible speaks in a number of places about being “one” with Christ (Jn 14:18-23)(Jn 15:4,7)(Jn 17:20-23).

This being said, it seems pretty clear that being “one flesh” is more than just about sex. We also become “one” by sharing and going through every aspect of our lives together: our problems, our victories, our health issues, our dreams and plans, our possessions and finances, and more. We are a united front with our children, our parents, and our friends. (When we are not united, problems WILL occur: i.e. when we do not obey the Lord’s command “to leave father and mother.”)

This “one flesh” covenant must not be broken by divorce. God HATES divorce (Mal 2:16). However, if one party breaks the covenant by adultery, God does allow for divorce (Mt 5:32)(Mt 19:9)(Mk 10:11). (A second, more debatable reason He allows divorce is if an unbelieving spouse departs: 1 Cor 7:15.)

Let me also quickly address (1 Cor 6:15-17), which talks about the sin of a believer having sex with a prostitute and becoming “one flesh” with her. It says: “Know ye not that your bodies are the members of Christ? shall I then take the members of Christ, and make them the members of an harlot? God forbid. (16) What? know ye not that he which is joined to an harlot is one body? for two, saith he, shall be one flesh. (17) But he that is joined unto the Lord is one spirit.”

This verse reaffirms that the primary way of becoming “one flesh” is through sex. However, it also shows us that “one flesh” is more than just sex, because a person is not entering into a marriage “covenant” by having sex with a prostitute. When a Christian commits this sin, He is in essence “joining Christ to a prostitute” because that believer is “one” with Christ (God actually lives in him). Can you see how horrible this would be??
 
Stori ya Lutu na mabinti zake unazijua vizuri? Baada ya sodoma na gomora kuangamizwa , hakuna mwanaume aliyebaki kasoro luthu tu, na mabinti zake wakasema tazama nchi hii Haina hata mwanaume ikabidi wamleweshe baba yao Ii afanye nao mapenzi wapate mimba III kizazi kiendelee,. Ibrahimu na mkewe Sara hawakujaliwa kupata mtoto mpaka wanafikisha miaka 100 lakini Mungu alishawapa ahadi ya kupata mtoto lakini mwanadamu ni mwanadamu tu ndipo Sara akamruhusu Ibrahimu kumuingilia kijakazi Ili wapate uzao lakini angalia kilichotokea baada ya hapo ni vita Kati ya Sara na kijakazi Kwa sababu haukuwa mpango wa binadamu na mpaka Leo ni vita Kati ya uzao wa hao Wana wawili wa ibrahimu,
Huyo Daud baada ya kumla mke wa mtu na kuzaa nae mtoto kilichotokea ni balaa kwake alipigwa ugonjwa usiojulikana chupuchupu afe na huyo mtoto alifariki na baada ya kufarii ndio kupata nafuu Mungu alichukia vibaya sana,
Mfalume suleimani pamoja na utajiri wake aliooanwanawake 700 na masuria 300 na Bado aliishia kusema ni ubatili mtupu CHINI ya jua Kwa kifupi alijutia maamuzi yake,
Ndoa SI ya Kila mtu , wapo WATU hawafai kuoa Wala kutolewa, wengine ni matowashi, wengine wamefanywa kuwa watoashi, ndoa ni ngumu hata hao mafarisayo na masdukayo walikuwa ni watalaamu wa Sheria na wao walidiriki kumwambia yesu kwamba kuoa basi hakufai baada ya kuona misimamo ya yesu kuhusu ndoa, rejea mathayo 19: 1- 12, kuoa sio lazima kama huna akili usioe maandiko yanasema ishi na mwanamke Kwa akili, sio ishi na wanawake Kwa akili, mke ni mmoja na Mume ninmmoja tu , hakuna sehemu kwenye biblia imesema oa wanawake zaidi ya mmoja!
Haya ya wanawake wengi ni matakwa ya wanadamu na shingo zetu ngumu!

Maelezo yako nayafaham vizuri tu,
Swali langu ni hili kwa nini sisi kwa wakati huu hilo jambo haliwezekani? Uwe mkristo na huku ukiwa na ndoa za mitala na hao wote Mungu aliongea nao (kupitia malaika na manabii) kwa nini kwetu ni ngumu? (Uwe na wanawake wengi huku ukiwa muunini wa kikristo)
 
Kwenu mnaong'ang'ania ndoa ya mke mmoja. Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo.

Sasa inapotokea mfano mke wako ama mume wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii hali inatatuliwa vipi?

Haiwezekani Mungu aweke sheria ya kukubana sehemu flani na asiweke mlango wa kutokea, hizi sheria za kuoa ni za viongozi wa makanisa na sio maandiko,

Dini iliweka wazi pia tuoe ili kuondokana na uzinzi, sasa katika hii hali mwanaume anaweza kukaa miaka 30 bila kupata unyumba ?
 
Ukitafakari kwa kina hata hizo dini na huyo Mungu waliomleta wao walikuwa na malengo yao, kupigilia msumari wakakuleteeni na muongozo wa kuwafanya muishi katika misingi yao. Amini sisi Waafrika tuna Mungu wetu aliyetulaani baada ya kumuacha na sio huyo tuloletewa na mkoloni.





Wenye akili tu watalielewa hili.
 
Mfano wako hausadifu hoja ilyopo mezani. Kwani Adamu alifunga ndoa? Alifungushwa na mchungaji/padre yupi?
Aliyekwambia ndoa ni lazima ufungishwe na mchungaji, padre au kiongozi wa dini pekee ni nani?
 
Maelezo yako nayafaham vizuri tu,
Swali langu ni hili kwa nini sisi kwa wakati huu hilo jambo haliwezekani? Uwe mkristo na huku ukiwa na ndoa za mitala na hao wote Mungu aliongea nao (kupitia malaika na manabii) kwa nini kwetu ni ngumu? (Uwe na wanawake wengi huku ukiwa muunini wa kikristo)
Torati ni ileile isipokuwa Yesu alikuja kuinyoosha tu kwamba watu walikuwa wanakosea Kwa kujificha ndani ya Sheria, Mimi Nina babu yangu Sasa ni marehemu aliooa wanawake kama 20 , na madai yake ni hayohayo kwamba hataki kuzini Kila aiyempenda alimuoa, unaweza kuona mijadala iliyoko humu watu wanatumia mifho ya akina suleimani, Gidion , Ibrahimu nk Kwa sababu walikuwa na mitaala na walikuwa ni manabii basi watu wanaona ni sawa tu hata Sasa kuwa na mitaala jambo ambalo hata yesu alilikataa mbele ya masdukayo na wafarisayo, Kwa Sasa Mungu hawezi Tena kutumia malaika kuongea na watu anatumia wachungaji na viongozi wa dini kufikisha ujumbe Kwa watu, Sasa hata kama tunawakatalia watumishi wa Mungu mafundisho yao je huyo Mungu tutamuelewa kweli?
Niliwahi kufuatilia sana Kwa Nini kwenye agano la kale mitaala iliruhusiwa ? Nikajibiwa kwamba kulikuwa na vita sana enzi hizo na wanaume wengi walikuwa wanafia vitani hivyo basi wanaume waliweza kuoa wanawake wengi KUTOKANA na uhaba wa wanaume lakini haukuwa mpango wa Mungu ,
 
Wasomi tunajua nuclear family ni Sheria ya viwanda ya 1800 yaani mke mmoja na watoto wawili na Sheria hiyo sio ya mungu Bali ya wanadamu na uchumi!!

Hata yesu alikuta mitara,ni uchumi tu ndio sababu ya Kuoa mke mmoja lakini ukiwa nazo utaoa wengi!!
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au pastor kuwa mke wa pili ni kosa na hivyo nami nijione haramu bila hata kutafiti.

Moja, nimefanya utafiti nimegundua dini haizuii na mwanzo wa jambo hilo ni tamaduni ya Urumi (Roman Empire) ambapo wao utamaduni wao ulikuwa mke mmoja tu. Hivyo sioni haja ya kuamini utamaduni wa Kirumi na kuacha utamaduni wa mwafrika.

Pili, kama Mungu anaamini nyumba ndogo ni haramu asingeruhusu Yesu azaliwe katika uanadamu wake atokee nyumba ndogo.

Historia ya dunia hii nimejaribu sana kuisoma kila sehemu. Mwanzilishi wa jambo hili kuliweka kwenye sheria ya kirumi kabisa na kuhakikisha siyo utamaduni pekee bali sasa liko kwenye sheria ya kirumi dhama hizo anaitwa emperor Augustus! Na kwa msaada tu huyu ni mtoto wa emperor Julius Ceasar (mnaita Julius Kaisari).

Wakati mitume wa yesu wanakimbia Rome baada ya yesu kufa walikuta hii sheria ni kali sana, mke mmoja na mume mmoja. Na wakristo wanaanza kuuliza vipi hili mbona linakingana na torati mnasemaje? Soma kitabu cha Tito ambapo wanaorodheshwa ambao wamezuiwa kuoa zaidi ya mke mmoja. Tena kinasema kabisa kwamba "wafuatao wawe waume wa mke mmoja". Sasa wametajwa. Sisis katika hao waliotajwa hatumo, inakuwaje mchungaji atumezeshe hiyo imani tuikubali?

USHAURI WANGU
Nawashauri wanaume wenye uwezo wa kuoa mke zaidi ya mmoja wafanye hivyo mara moja kwani hakuna kifungu cha biblia hata kimoja kinachowazuia kufanya hivyo. Watu waoe mitala wazae na kuijaza dunia. Hili ndilo agizo la Mungu Baba Mwenyezi. Maagizo mengine yoyote yale ni ubatili kwani yametokana na utashi wa wanadamu!
 
Torati ni ileile isipokuwa Yesu alikuja kuinyoosha tu kwamba watu walikuwa wanakosea Kwa kujificha ndani ya Sheria, Mimi Nina babu yangu Sasa ni marehemu aliooa wanawake kama 20 , na madai yake ni hayohayo kwamba hataki kuzini Kila aiyempenda alimuoa, unaweza kuona mijadala iliyoko humu watu wanatumia mifho ya akina suleimani, Gidion , Ibrahimu nk Kwa sababu walikuwa na mitaala na walikuwa ni manabii basi watu wanaona ni sawa tu hata Sasa kuwa na mitaala jambo ambalo hata yesu alilikataa mbele ya masdukayo na wafarisayo, Kwa Sasa Mungu hawezi Tena kutumia malaika kuongea na watu anatumia wachungaji na viongozi wa dini kufikisha ujumbe Kwa watu, Sasa hata kama tunawakatalia watumishi wa Mungu mafundisho yao je huyo Mungu tutamuelewa kweli?
Niliwahi kufuatilia sana Kwa Nini kwenye agano la kale mitaala iliruhusiwa ? Nikajibiwa kwamba kulikuwa na vita sana enzi hizo na wanaume wengi walikuwa wanafia vitani hivyo basi wanaume waliweza kuoa wanawake wengi KUTOKANA na uhaba wa wanaume lakini haukuwa mpango wa Mungu ,
Na sasa Kuna magonjwa mengi plus ushoga plus natural hazards huoni mitara ni suluhisho!!?
 
Na sasa Kuna magonjwa mengi plus ushoga plus natural hazards huoni mitara ni suluhisho!!?
Mashoga walikuwepo wengi kuliko hata Sasa enzi hizo za akina Luth, mafundisho ya yesu kuhusu ndoa ni mke mmoja na Mume mmoja tu, na Tena ni afadhali mtu asioe Wala kuolewa kama aluvyosisitiza mtumie Paul katika BARUA zake, sisi tunaichukilia ndoa kirahisi sana , ndoa ni taasisi ngumu sana , watu wanapaswa kupewa elimu kubwa kuhusu ndoa ,
 
Mkuu hujasoma maandiko vizuri, huijui biblia na desturi za wayahudi!

Kwa taarifa yako mke wa kwanza wa Adam alikuwa Lilith, Eva ni mke wa pili baada ya Lilith.

Na pia Adam sio binadamu wa kwanza kuumbwa.

Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa kwa udongo shambani Eden.
Umepata wapi haya?
 
Umepata wapi haya?
Mkuu nikutaarifu kuwa kabla na baada ya Yesu hakukuwepo na biblia, utaratibu wa kuipata biblia ulikuwa wa kisiasa, kimkakati na kimaslahi kwa himaya ya Warumi.

Kwa maana hiyo kuna vitabu vingi zaidi ya 23 viliachwa nje na viliopo vilihaririwa ili viendane na matakwa ya utawala wa rumi. Vitafute utaelewa ninachosema.

Shida ya sasa ni kuwa hata usomaji wa kina wa hiyo biblia haupo, na viongozi walio wengi wa kikristo wanasoma biblia na kuitafsiri jinsi maandiko yanavyo wanufaisha wao binafsi na taasisi zao.

Mkuu Ili kuupata ukweli ufahamu kuwa Yesu alikuwa myahudi na yeye binafsi alikulia uyahudini na kuiishi imani na desturi za kiyahudi mpaka anaondoka duniani. Kwa hivyo fuatilia imani ya kiyahudi na desturi zake ujue zilikuwaje.

Kumbuka kwa kauli yake alisema hakuja kubadili torati bali kuitimiza na Kumalizia, alisema hakuna atakaye weza kuongeza au kupunguza neno la torati hadi mwisho wa dunia.
 
Mungu angetaka hio polygamy system, angemuumbia Adam mke zaidi ya mmoja.
Ila hakufanya hivo, alimuumbia Adam mke mmoja tuu na Adam akarithika na kukaa naye maisha yake yote na hakuongezewa mke.
Mkuu una uhakika Adam alikuwa na mke mmoja? Usikariri!
 
Ww unaepiga debe mitaala kasome Mathayo 19 , ndo utaelewa maana ya ndoa
Mkuu shida yako unasoma biblia ukiwa na mning'inio wa utamaduni na desturi za kizungu.

Mkuu imani zote Duniani, zinahlruhusu ndoa ya wake wengi mathalan uislam, ubutha, uyahudi, ushinto, upagani, ukonifushiani, imani za kiafrika na kadhalika. Iweje ulaya tu ndio Mungu akataze ndoa ya wake wengi!

Biblia yenyewe haijakataza wala hakuna kifungu au mahali popote imetamka "ole wake.... "au usi......wake wengi" Tofautisha desturi za kizungu na imani ya kikristo!

Mkuu unataka kutuambia kuwa siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu atahukumu wanadamu (wanaume) kwa kigezo cha kuwa na wake wengi na sio imani kwake Mungu na matendo mema kwa binadamu wenzako!
 
Mkuu shida yako unasoma biblia ukiwa na mning'inio wa utamaduni na desturi za kizungu.

Mkuu imani zote Duniani, zinahlruhusu ndoa ya wake wengi mathalan uislam, ubutha, uyahudi, ushinto, upagani, ukonifushiani, imani za kiafrika na kadhalika. Iweje ulaya tu ndio Mungu akataze ndoa ya wake wengi!

Biblia yenyewe haijakataza wala hakuna kifungu au mahali popote imetamka "ole wake.... "au usi......wake wengi" Tofautisha desturi za kizungu na imani ya kikristo!

Mkuu unataka kutuambia kuwa siku ya Kiyama Mwenyezi Mungu atahukumu wanadamu (wanaume) kwa kigezo cha kuwa na wake wengi na sio imani kwake Mungu na matendo mema kwa binadamu wenzako!
Kuoa wanawake wengi sio kudio la Mungu ni matakwa ya wanadamu na tamaa zao hata hao mitume waliokuwa na mitaala waliishia kujuta tu! Ndio maana yesu kwenye agano jipya anasisitiza kuoa mke mmoja na sio vinginevyo! Injili maana yake ni habari njema Kwa watu wote sio wazungu Wala waafrika Wala waislamu Wala wabudha, hata hao waislamu wenye wake wengi wanajuta na mwislamu anaejitambua hawezi kuwa na wanawake wengi!! Suala la kuoa sio la Kila mtu Kuna watu hawapaswi kuoa au kuolewa!
 
Back
Top Bottom