Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hukunielewa, kukuelewesha nimeona hakuna ulazima, tayari nilishaeleweshana na niliyemjibu.Nimetoa jibu halisi tayri unaweza ukaoitia comments zinnazofouta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukunielewa, kukuelewesha nimeona hakuna ulazima, tayari nilishaeleweshana na niliyemjibu.Nimetoa jibu halisi tayri unaweza ukaoitia comments zinnazofouta
I didnt mean that He protected him from evil ..Nah nah you are not gettn my point...That's not the point.
Even god protected David even though David did a bad thing, he said "You will not die but your son will die"
I see we're not making any progress.
You ask minor qns which I already explained.
Broo marry as many wives as you want it's all up to you.
Yes because it's not your place to judge a prophet of God, Miriam did a bad thing snitching on Moses that why she was cursed.God Protected him and cursed those who trying argue why has mosses Married another woman..
He protected him because he was his beloved prophet and no man should ever judge a prophet of God, let God alone judge his Prophets.God protected mosses from being Judged after marrying another wife
Then what happened?? Was he satisfied with the many wives he had?? Did this lead to his downfall??another wife he may Add for him...?
Unakaririsha na kumezesha watuhata kama hakuna mstari wowote wa ku support ila sisi tunasemajee:-
Kilichofungwa duniani..... na mbinguni kishafungwa hadi hapo kifo kitakapowatenganisha. ( yaani ni mmoko kwa mmoko).
Nani kakuambia ukio mke wa oili, tatu, nne, and son unarudi kwa wazazi wako?Mke wa pili ataachana na wazazi wake, ila mume anayemuoa alishaachana na wazazi wake akaoa mke wa kwanza.
RubbishNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au pastor kuwa mke wa pili ni kosa na hivyo nami nijione haramu bila hata kutafiti.
Moja, nimefanya utafiti nimegundua dini haizuii na mwanzo wa jambo hilo ni tamaduni ya Urumi (Roman Empire) ambapo wao utamaduni wao ulikuwa mke mmoja tu. Hivyo sioni haja ya kuamini utamaduni wa Kirumi na kuacha utamaduni wa mwafrika.
Pili, kama Mungu anaamini nyumba ndogo ni haramu asingeruhusu Yesu azaliwe katika uanadamu wake atokee nyumba ndogo.
Historia ya dunia hii nimejaribu sana kuisoma kila sehemu. Mwanzilishi wa jambo hili kuliweka kwenye sheria ya kirumi kabisa na kuhakikisha siyo utamaduni pekee bali sasa liko kwenye sheria ya kirumi dhama hizo anaitwa emperor Augustus! Na kwa msaada tu huyu ni mtoto wa emperor Julius Ceasar (mnaita Julius Kaisari).
Wakati mitume wa yesu wanakimbia Rome baada ya yesu kufa walikuta hii sheria ni kali sana, mke mmoja na mume mmoja. Na wakristo wanaanza kuuliza vipi hili mbona linakingana na torati mnasemaje? Soma kitabu cha Tito ambapo wanaorodheshwa ambao wamezuiwa kuoa zaidi ya mke mmoja. Tena kinasema kabisa kwamba "wafuatao wawe waume wa mke mmoja". Sasa wametajwa. Sisis katika hao waliotajwa hatumo, inakuwaje mchungaji atumezeshe hiyo imani tuikubali?
USHAURI WANGU
Nawashauri wanaume wenye uwezo wa kuoa mke mmoja wafanye hivyo mara moja kwani hakuna kifungu cha biblia hata kimoja kinachowazuia kufanya hivyo. Watu waoe mitala wazae na kuijaza dunia. Hili ndilo agizo la Mungu Baba Mwenyezi. Maagizo mengine yoyote ni ya wanadamu tu!
Nimeuliza swali unasema napotosha tena boss.
Mada ni, mwanamume kuoa mke mmoja si maagizo ya MUNGU ni ya binadamu.
Swali: Biblia imetoa maelekezo kuwa mwanaume aachane na baba na mama yake aambatane na mkewe na wawe mwili mmoja. Sasa kwanini haikusema aambatane na wake zake?
Naomba jibu mkuu.
Sawa.
Mbariki ShetaniMwenye dhambi habarikiwi??
Mababuuu wajukuu zenu tumepangwa ukuNaingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au pastor kuwa mke wa pili ni kosa na hivyo nami nijione haramu bila hata kutafiti.
Moja, nimefanya utafiti nimegundua dini haizuii na mwanzo wa jambo hilo ni tamaduni ya Urumi (Roman Empire) ambapo wao utamaduni wao ulikuwa mke mmoja tu. Hivyo sioni haja ya kuamini utamaduni wa Kirumi na kuacha utamaduni wa mwafrika.
Pili, kama Mungu anaamini nyumba ndogo ni haramu asingeruhusu Yesu azaliwe katika uanadamu wake atokee nyumba ndogo.
Historia ya dunia hii nimejaribu sana kuisoma kila sehemu. Mwanzilishi wa jambo hili kuliweka kwenye sheria ya kirumi kabisa na kuhakikisha siyo utamaduni pekee bali sasa liko kwenye sheria ya kirumi dhama hizo anaitwa emperor Augustus! Na kwa msaada tu huyu ni mtoto wa emperor Julius Ceasar (mnaita Julius Kaisari).
Wakati mitume wa yesu wanakimbia Rome baada ya yesu kufa walikuta hii sheria ni kali sana, mke mmoja na mume mmoja. Na wakristo wanaanza kuuliza vipi hili mbona linakingana na torati mnasemaje? Soma kitabu cha Tito ambapo wanaorodheshwa ambao wamezuiwa kuoa zaidi ya mke mmoja. Tena kinasema kabisa kwamba "wafuatao wawe waume wa mke mmoja". Sasa wametajwa. Sisis katika hao waliotajwa hatumo, inakuwaje mchungaji atumezeshe hiyo imani tuikubali?
USHAURI WANGU
Nawashauri wanaume wenye uwezo wa kuoa mke mmoja wafanye hivyo mara moja kwani hakuna kifungu cha biblia hata kimoja kinachowazuia kufanya hivyo. Watu waoe mitala wazae na kuijaza dunia. Hili ndilo agizo la Mungu Baba Mwenyezi. Maagizo mengine yoyote ni ya wanadamu tu!
Ukioa mke wa kwanza umetimiza andiko kwa kuachana na wazazi wako, mke wa pili na watakaofuata concept ya kuachana na wazazi wako haipo, ulishaachana nao wakati unaoa mke wa kwanza.Unakaririsha na kumezesha watu
Nani kakuambia ukio mke wa oili, tatu, nne, and son unarudi kwa wazazi wako?
Mimi sio mtoa baraka.Mbariki Shetani
Do you really know the biblical meaning of the term 'flesh' as God applied it in the bible? And do you think God cannot join more than two people to become one flesh? Go back, read the bible comprehensively and come back with fresh mind."So then, they are no longer two but one flesh. Therefore what God has joined together, let not man separate" (Matthew 19:6).
Bado hujajibu swali mkuu. Unaachana kivipi wakati bado ni wazazi wako. Ina maana mke ndio anachukua nafasi ya wazazi? In actual sense, kwani mke ndiye anawaacha wazazi au mume?Ukioa mke wa kwanza umetimiza andiko kwa kuachana na wazazi wako, mke wa pili na watakaofuata concept ya kuachana na wazazi wako haipo, ulishaachana nao wakati unaoa mke wa kwanza.
Biblia inasema mwanaume atawaacha wazazi wake na kuambatana na mkewe. Hivyo anayeachana na wazazi ni mwanaume si mwanamke. Na hii inamake sense sababu yapo mazingira mwanamke akarudi kwa wazazi wake.Bado hujajibu swali mkuu. Unaachana kivipi wakati bado ni wazazi wako. Ina maana mke ndio anachukua nafasi ya wazazi? In actual sense, kwani mke ndiye anawaacha wazazi au mume?
Hii ni kama marudio ya maagizo ya viongozi na hata kwenye manifesto ya chama chetu ...FYATUENI WATOTO TUTASOMESHAUSHAURI WANGU
Nawashauri wanaume wenye uwezo wa kuoa mke mmoja wafanye hivyo mara moja kwani hakuna kifungu cha biblia hata kimoja kinachowazuia kufanya hivyo. Watu waoe mitala wazae na kuijaza dunia. Hili ndilo agizo la Mungu Baba Mwenyezi. Maagizo mengine yoyote ni ya wanadamu tu!
That is none of anybody's business except the one who decides to marry many wives in his consent since doing so is not sinful before the eyes of the Lord. No scripture in the bible forbids polygamy. Dont get carried over by fake pastors words about polygamy. Deny their negative utterances at any cost.While you can find some laws and provisions for multiple wives in Scripture, just look at all the grief and heartache such homes created.
Haya ma aya potofu mnayokarrishwa na wachungaji wenuwa mchongo ndio hatuyataki hapa ujue!Biblia inajieleza yenyewe ila shida hamuelewi. Hapi haujaelewa nini? Aliumba mume na mke. Agano lilianza kwa Adamu na Eva.
Kutokana na ugumu wa mioyo yenu Musa akawapa ruhusa ila tangu mwanzo haikuwa hivyo. Kwahiyo siyo agizo la Mungu bali ni agizo la Musa.
Mungu anapenda ndoa ya mke mmoja na mume mmoja km ilivyo kwa Adamu na Eva
Marko 10:6-8
6. Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke.
7. Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’
8. Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Though we may Agree to disagree on this matter Cuz we have Different POV....Yes because it's not your place to judge a prophet of God, Miriam did a bad thing snitching on Moses that why she was cursed.
He protected him because he was his beloved prophet and no man should ever judge a prophet of God, let God alone judge his Prophets.
Then what happened?? Was he satisfied with the many wives he had?? Did this lead to his downfall??
We're making one step forward and two steps backward, this conversation isn't progressing because you ask qns which I have already explained.
Look at the bigger picture, was polygamy part of God's perfect plan or was it just something that God overlooked(for example divorce) during the time of the Patriarchs.
Kumbe Adam alimuoa hawa eeh? Mahari alimlipa nani? Adamu alimuacha nani akaambatana na Eva?Mwanzo 2:21-25
21 Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Mkuu umemaliza kila kitu lakini subiri wabishi waje kukubishia kwa kuwa hawakosekani.Kuhusu mwanaume mmoja na mwanamke mmoja hiyo ni contradiction mkuu...
Ngoja nikupe story Halisia na uumbaji wa binadamu kuhusu mimea na bustni hiyo inaweza ikaja baadae
Uumbaji wa kwanza kufanyika ulikuwa ni uumbaji wa Mwanaume na mwanamke walioumbwa kwa udongo na wote kwa pamoja Walipewa jina la Adama au Adam...
Mwanzo 5:1-2
View attachment 2783688
Pia kama utakuwa textual anylist utanmgundua uumbaji huu unaosemwa hapa ndo uumbaji wa kwanza kwenye
Mwanzo 1:26-27
View attachment 2783693
Neno mtu Tafsiri ya mwanzo kabisa ya uumbaji ilimaanisha Watu wawili na wote waliumbwa siku moja na kutumia madongo au Udongo
Na uumbaji wa pili Ulikuwa ni uumbaji wa Mtu kutoka katika mwili wa mtu kwa sababu yule mwanamke wa kwanza hakumuheshimu Adam kwakuwa walikuwa sawa hivyo walitengena na yeye kuondok hiyo ilimpelekea Adam kuishi maisha ya upweke sana na ndo ile kauli na si vyema mtu huyu aishi peke yake...
Mwanzo 2:18
View attachment 2783697
Sasa mungu anachukua Upande aa ubavu na sio Udongo anafinyanga mwingine View attachment 2783699
Sasa Baada ya Kuumbwa yule mwanamke wa pili anapelekwa Kwa Adam..Adam baada ya kumuona huyu wa pili anatamka maneno kama "Sasa huyu" maana yake sio Yule au sio mwingine...View attachment 2783700
Na ikumbukwe waliombwa wa kwanza akiwemo Adamu Walipewa Majina na Mungu Rejea Hapo juu mwanzo 5:1 ila huyu alipewa jina na Adam
SASA HIYO NDO SIRI NA UKWELI TULIOFICHWA SIKU NYINGI MWENYE SIKIO NA SASIKIE