Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

Kuna watoto wa nyumba ndogo wamezaliwa lakini kwa kuvunjwa kwa nyumba kubwa. Yani mke mdogo anajibebesha mimba, anamfanyia fujo mke mkubwa anaingia yeye. Huyo nae kaja kufungua uzi hapa kutetea uozo
 
Okay guys nobody told you not to marry many wives, marry as many wives as you want, and if you bring threads about the hardships you're facing with your many wives, Please do tag me, i know we men want to have as many wives as our wallets alow, but is it God's perfect plan, is God okay with polygamy?

"So then, they are no longer two but one flesh. Therefore what God has joined together, let not man separate" (Matthew 19:6).

The Pharisees once asked Jesus, "Is it lawful for a man to divorce his wife for just any reason?" (Matthew 19:3).
I believe Christ's response to their question illustrates a principle that gives light on the question about polygamy. Jesus told the Pharisees, "Moses, because of the hardness of your hearts, permitted you to divorce your wives, but from the beginning it was not so"(Matthew 19:8).

The same can be said about polygamy. It was never part of God's perfect plan for a man to have more than one wife.
When we look to the creation of Adam in Eden, God did not create an Eve and a Prisca for him. There was just one wife.

While you can find some laws and provisions for multiple wives in Scripture, just look at all the grief and heartache such homes created.

The stories of Abraham and Hagar, of Jacob with Leah and Rachel, of David and Bathsheba, and the sad commentary of Solomon and his multiple wives only point to the imperfect homes and the many problems that plagued them.

There are scenarios in Scripture that are less than ideal among God's people. Israel wanted a king during the time of Samuel. Because of their stubborn insistence, God reluctantly gave them a king. Now i ask you what happened next after god gave them what their hearts desired instead of listening to God??

Paul gives us another perfect angle on how God deals with those who do not always know the ideal.
He says, "Truly, these times of ignorance God overlooked, but now commands all men everywhere to repent" (Acts 17:30).

Polygamy goes against the oneness that God first set up in the marriage of Adam and Eve. A lasting marriage is one in which both partners "forsake all others." Even though we find plural marriages and slavery as a reality during the time of the Patriarchs, they were clearly not the divine ideal. It is "two who become one flesh" and not three or four or five or six that become one flesh, only two become one flesh and your patner(wife) is your other half, you don’t have two or three or four other halves, just one, understand this.

About lilith, you will have to forgive me so saying this, but I find it stupid to base your religious beliefs on some stories that aren't in the bible or misinterpreted, because Genesis clearly tells us that Eve was the first and only wife of Adam, Lucifer is the most smartest being after Jesus that I have ever read about, he is extremely smart, he knows how to interfere with Scriptures, he can mangle facts into whatever he wants the world to believe in defiance to all information in the bible, and he is very good at that and many times people do believe him, because maybe it fits into their preconceived stereotypes.

Therefore, one man for one woman provides the foundation for true intimacy. It also reflects the relationship between Christ and His church.

If you want to do something, just do it, you don't have force it to become the truth.

The truth doesn’t care about our needs or wants, it doesn’t care about our governments, our ideologies or our sects, truth is just truth.
 
Mathayo 19:5-6
Akasema, kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja’
6.Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”

Mwanzo 2:22
Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

Mwanzo 2:23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Mathayo 19:8
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Marko 10:5-9
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Whats your Point
 
Mkuu hata mke wa pili, wa tatu na kadhalika kila mmoja wakati wa kutolewa ataachana na wazazi wake na kuungana na huyo mwanaume ambaye naye ataachana na wazazi wake.

Mkuu kwani ukiungana na mke wa kwanza mkawa mwili mmoja mwanaume unakuwa na vichwa viwili? au mikono minne?

Kanuni ya asili tu inakataa dume mmoja kuhudumia jike moja, tazama mazingira yaliyotuzunguka dume moja huhudumia majike mengi? Wanadamu ni wanyama iweje wawe tofauti?

Kwenye biblia maneno yaliyotoka kwa Mungu mubashara ni amri 10, hazikuzungumzia ndoa iwe ya wake wangapi na katika kauli za Yesu hakuna mahali alizungumzia ndoa iwe ya wake wangapi, hakuna!

Mitume wa Yesu walikuwa wayahudi, kwa mujibu wa desturi za wayahudi kwa wakati huo ndoa zao zilikuwa ni za wake wengi! Mitume wengi walikuwa na wake wengi!

Mungu aliwatumia manabii ambao wengi walikuwa na wake wengi mpaka na masuria! Mungu hakuona ni kosa!
Biblia inajieleza yenyewe ila shida hamuelewi. Hapi haujaelewa nini? Aliumba mume na mke. Agano lilianza kwa Adamu na Eva.
Kutokana na ugumu wa mioyo yenu Musa akawapa ruhusa ila tangu mwanzo haikuwa hivyo. Kwahiyo siyo agizo la Mungu bali ni agizo la Musa.
Mungu anapenda ndoa ya mke mmoja na mume mmoja km ilivyo kwa Adamu na Eva

Marko 10:6-8
6. Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke.
7. Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’
8. Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
 
Unajua hizo barua au maandiko yalikuwa maalumu kwa wakati huo na kwa watu kipindi hicho. Mfano barua ya wafilipi mimi mtz inanihusu nni?

Mkiamua kuchukua maagizo ya biblia chukuen yote na mfuate yote, sio mnayoyapenda. Unafiki
Ndio hapo hata mm nashangaa jinsi watu wanavyoshobokea mambo yasiyowahusu. Hili ni tatizo la upotofu uliorithishwa vizazi na vizazi. Unajua uongo ukisemwa sana huonekana kuwa ni ukweli. Hiki ndicho kinachowachanganya watu wengi kuhusu ndoa za mitala na masulia, ambayo haina uharamu wowote mbele za Mungu.
 
Okay guys nobody told you not to marry many wives, marry as many wives as you want, and if you bring threads about the hardships you're facing with your many wives, Please do tag me, i know we men want to have as many wives as our wallets alow, but is it God's perfect plan, is God okay with polygamy?

"So then, they are no longer two but one flesh. Therefore what God has joined together, let not man separate" (Matthew 19:6).

The Pharisees once asked Jesus, "Is it lawful for a man to divorce his wife for just any reason?" (Matthew 19:3).
I believe Christ's response to their question illustrates a principle that gives light on the question about polygamy. Jesus told the Pharisees, "Moses, because of the hardness of your hearts, permitted you to divorce your wives, but from the beginning it was not so"(Matthew 19:8).

The same can be said about polygamy. It was never part of God's perfect plan for a man to have more than one wife.

When we look to the creation of Adam in Eden, God did not create an Eve and a Prisca for him. There was just one wife.

While you can find some laws and provisions for multiple wives in Scripture, just look at all the grief and heartache such homes created.

The stories of Abraham and Hagar, of Jacob with Leah and Rachel, of David and Bathsheba, and the sad commentary of Solomon and his multiple wives only point to the imperfect homes and the many problems that plagued them.

There are scenarios in Scripture that are less than ideal among God's people. Israel wanted a king during the time of Samuel. Because of their stubborn insistence, God reluctantly gave them a king. Now i ask you what happened next after god gave them what their hearts desired instead of listening to God??

Paul gives us another perfect angle on how God deals with those who do not always know the ideal.
He says, "Truly, these times of ignorance God overlooked, but now commands all men everywhere to repent" (Acts 17:30).

Polygamy goes against the oneness that God first set up in the marriage of Adam and Eve. A lasting marriage is one in which both partners "forsake all others." Even though we find plural marriages and slavery as a reality during the time of the Patriarchs, they were clearly not the divine ideal. It is "two who become one flesh" and not three or four or five or six that become one flesh, only two become one flesh and your patner(wife) is your other half, you don’t have two or three or four other halves, just one, understand this.

About lilith, you will have to forgive me so saying this, but I find it stupid to base your religious beliefs on some stories that aren't in the bible or misinterpreted, because Genesis clearly tells us that Eve was the first and only wife of Adam, Lucifer is the most smartest being after Jesus that I have ever read about, he is extremely smart, he knows how to interfere with Scriptures, he can mangle facts into whatever he wants the world to believe in defiance to all information in the bible, and he is very good at that and many times people do believe him, because maybe it fits into their preconceived stereotypes.

Therefore, one man for one woman provides the foundation for true intimacy. It also reflects the relationship between Christ and His church.

If you want to do something, just do it, you don't have force it to become the truth.

The truth doesn’t care about our needs or wants, it doesn’t care about our governments, our ideologies or our sects, truth is just truth.
Ok Then lets try Go me and u..
One on one..
Answer the following qn with scripture proves:
Its important..
  • How does God creted Eve?
  • Eve was created on the garden or Away from?
  • Mention any Prophets From Moses,David any How,Who have only one wife
  • Then other Qn will pass through
 
Whats your Point
Maandiko yanajieleza yenyewe. Biblia imeandikwa kwa lugha nyingi duniani ili watu wapate kuelewa na neno la Mungu liwafikie na wajue kweli.
Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja
 
Ndio hapo hata mm nashangaa jinsi watu wanavyoshobokea mambo yasiyowahusu. Hili ni tatizo la upotofu uliorithishwa vizazi na vizazi. Unajua uongo ukisemwa sana huonekana kuwa ni ukweli. Hiki ndicho kinachowachanganya watu wengi kuhusu ndoa za mitala na masulia, ambayo haina uharamu wowote mbele za Mungu.
Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja
 
Biblia inajieleza yenyewe ila shida hamuelewi. Hapi haujaelewa nini? Aliumba mume na mke. Agano lilianza kwa Adamu na Eva.
Kutokana na ugumu wa mioyo yenu Musa akawapa ruhusa ila tangu mwanzo haikuwa hivyo. Kwahiyo siyo agizo la Mungu bali ni agizo la Musa.
Mungu anapenda ndoa ya mke mmoja na mume mmoja km ilivyo kwa Adamu na Eva

Marko 10:6-8
6. Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke.
7. Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’
8. Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Kabla ya Musa watu walkuwa wakioa na Kuolewa au kuoa wake wengi sio baada ya Musa Musa ni Mjukuu au mwana wa Yakobo Yupo kwenye kizazi cha polygamy hawezi kuruhusu kitu alichokikuta Rudi pitia Biblia yako viziri...
 
Kwani Adam na Eva walioana? Nani aliwafungisha ndoa? Labda tuanzie hapo.
 
Ni wapi Mungu aliruhusu watu waoe zaidi ya mke mmoja? Weka andiko
Kumbuka haya yalitokea pindi anguko la Adamu na Eva walipotenda dhambi na kufukuzwa kwenye bustan ya Eden. Ndipo dhambi iliingia rasmi na binadamu kwa tamaa zake za kimwili akaoe wake wengi ila haikuwa hivyo tangu mwanzo.
Soma kisa cha Kaini na Habil

Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja
 
Mathayo 19:5-6
Akasema, kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja’
6.Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”

Mwanzo 2:22
Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

Mwanzo 2:23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Mathayo 19:8
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Marko 10:5-9
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
Mkuu hivi vifungu vyako havina mantiki yoyote. Hebu tuletee vifungu vinavyoharamisha ndoa za mitala na masulia
 
Kwani Adam na Eva walioana? Nani aliwafungisha ndoa? Labda tuanzie hapo.
Mwanzo 2:21-25
21 Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,

22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.
 
Ni wapi Mungu aliruhusu watu waoe zaidi ya mke mmoja? Weka andiko
Kumbuka haya yalitokea pindi anguko la Adamu na Eva walipotenda dhambi na kufukuzwa kwenye bustan ya Eden. Ndipo dhambi iliingia rasmi na binadamu kwa tamaa zake za kimwili akaoe wake wengi ila haikuwa hivyo tangu mwanzo.
Soma kisa cha Kaini na Habil

Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja
Mkuu acha maneno mengi na janjajanja. Naomba utuletee vifungu vinavyoharamisha ndoa ya mke zaidi ya mmoja.
 
Mi mwenyewe huwa najiuliza iweje wazee wetu wa imani walikuwa na mke zaidi ya mmoja sisi tuzuiwe?

Na hao ndo tunaambiwa tuwe kama wao kiimani!

1. Ibrahim alilala na mjakazi tena kwa kupigiwa pande na mkewe Sala, na akaomuoa Ketura tena.

2. Yakobo nae alioa wawili ujombani dada mtu na mdogo wake Leah na Raheli

3. Lutu aliwapa mimba binti zake wa kuzaa japo alikuwa hajielewi alikuwa nzwii

4. Daudi alimla mke wa Uria mhiti akamzaa Sulemani.

5. Sulemani huyu sasa mnamjua vizuri alikuwa na wanawake sijui alikuwa na nguvu gani huyu?

Lakini Mungu alimkubali na kumpatia hekima na utajiri!

Sasa sijui sisi iweje tuwekewe ukomo na idadi ya wanawake ni kubwa kuliko idadi ya wanaume?

Mimi kwa upande wangu niseme tu,

1. Imani yangu kwa wakati huu hairuhusu hilo jambo la kuoa wanawake wengi.

2. Ugumu wa maisha nao ni shida ila mke 1 hatoshi!

inapendeza sana unapokuwa na idadi kubwa ya watoto na wanawake pia afu Mungu ajaalie wawe na umoja yaani unakuwa na himaya yako flani hivi.

Tofauti na unapokuwa na mke 1 na watoto wawili/3 biashara imeisha hivyo na wao kwa baadae mwendo ni wa 2/3 yaani ukoo hamfiki hata idadi wa watu 20!
 
Mwanzo 2:21-25
21 Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,

22 na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

23 Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

24 Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

25 Nao walikuwa uchi wote wawili, Adamu na mkewe, wala hawakuona haya.
Hii ni ndoa eeh? Baba yake Adam ni nani? Na baba yake Hawa ni nani? Namaanisha biological father, si vingjnevyo. Maana naona mnataka kutulazimisha tukubali upotoshaji wenu.
 
Ok Then lets try Go me and u..
One on one..
Answer the following qn with scripture proves:
Its important..
  • How does God creted Eve?
  • Eve was created on the garden or Away from?
  • Mention any Prophets From Moses,David any How,Who have only one wife
  • Then other Qn will pass through
1st answer, you know how she was created.
2nd answer, you know where she was created.
We are not kids let's talk like adults

3rd answer, You clearly didn't understand me, if you knew what the following verse meant, you didnt have to ask me this question at all, because it clearly explains things, Acts 17:30 "Truly, these times of ignorance God overlooked, but now commands all men everywhere to repent"
 
Mkuu hivi vifungu vyako havina mantiki yoyote. Hebu tuletee vifungu vinavyoharamisha ndoa za mitala na masulia
Unajua Biblia siyo kama gazeti na huwezi kutaka lako unalolifikiria liwe hivyo.
Biblia inataka utulize akili na utafakari unayosoma kwasababu chochote unachosoma kina maana katika ulimwengu wa mwili na roho.
Wengi waliolazimisha Biblia Takatifu iwe wao wanavyofikiria waliangamiza watu
1. Nabii Tito
2. Yule wa kenya aliwaambia wafunge ili wamuone Mungu, wote waliishia kufa
3. Kibwetwere aliyewachoma waumini wake Uganda
4. Aliyefunga siku 40 kama Yesu akaishia kufa.
N.B
Biblia imeandikwa kwa lugha nyingi ili kila mtu apate kujua kweli. Hayo maandiko niliyoandika ndivyo ilivyo ila kwa vile hausomi Biblia na unataka ndoa za mitaala ziwe hivyo basi hayo maandiko kwenye Biblia hayapo.
 
Hii ni ndoa eeh? Baba yake Adam ni nani? Na baba yake Hawa ni nani? Namaanisha biological father, si vingjnevyo. Maana naona mnataka kutulazimisha tukubali upotoshaji wenu.
Biblia siyo kama gazeti kile unachofikiria wewe ndicho kiwe. Haulazimishwi, amini unachoamini wala haipotezi maana yoyote ile.
Shukuru Mungu kwenye ukristo kuna neema na Mungu pekee ndiyo anayehukumu na siyo mwanadamu.
Nenda kwa waislamu ukawaulize hivyo kama hawajakukata kichwa.
 
Back
Top Bottom