FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Tarjuma ya Qur'an Kiswahili:Shikamoo bi mkubwa! Hizi aya umezinakili kutoka wapi?
Qur'ani Tukufu
www.iium.edu.my
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tarjuma ya Qur'an Kiswahili:Shikamoo bi mkubwa! Hizi aya umezinakili kutoka wapi?
Mungu angetaka hio polygamy system, angemuumbia Adam mke zaidi ya mmoja.
Ila hakufanya hivo, alimuumbia Adam mke mmoja tuu na Adam akarithika na kukaa naye maisha yake yote na hakuongezewa mke.
Mungu angetaka hio polygamy system, angemuumbia Adam mke zaidi ya mmoja.
Ila hakufanya hivo, alimuumbia Adam mke mmoja tuu na Adam akarithika na kukaa naye maisha yake yote na hakuongezewa mke.kwanu
Sasa hapa mbona tunaongea kuhusu ndoa ya kibiblia au unataka kutusilimisha?
Sasa mfano nikitaka kuoa mke wa pili ndoa tutafungia wapi ikiwa kanisani hawataki?
Mimi sipigii debe, kwa sababu ndoa ya mitala ipo kisheria, kiislamu na kimila. Kakague cheti cha ndoa vizuri, kinaruhusu wewe kuchagua ndoa ya aina gani ikupendezayo mkuu ili mradi mmeelewana na mwenzio.Ww unaepiga debe mitaala kasome Mathayo 19 , ndo utaelewa maana ya ndoa
Mathayo 19:5-6Naungana na Mleta mada, Mimi ni mKristo lakini katika BIBLIA TAKATIFU kuanzia Mwanzo 1:1 Hadi Ufunuo 22:21 hakuna mahali kuwa ni Sheria kuoa mke mmoja.
Nabii Musa mwenyewe alikuwa na wake wawili, mke mmoja ni mambo ya Sheria za kibinadamu sawa na kuzuia viongozi wasioe...
Hapa una hoja mkuu, ila nje ya mada kidogo unazani ni kwanini wa misionary walimfananisha Yesu na mzungu na siyo mwafrika mweusi tuu wa huko kishumundu aliye pigika na maisha?Biblia na Quran kimsingi havibebi maagizo ya Mungu ni mkusanyiko wa simulizi za maisha na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati. Ni kiherehere kwa mmanyema, mmatumbi, msukuma kufuatatilia maagizo waliyokuwa wanapewa walawi, waadikayo, watu wa gaza nk. Jiulize inakuwaje kila stori ihusu hayo maeneo je ina maana Mungu hakujua kabisa kama Iringa, Burma, vanuatu, namtumbo kuna watu?
Mathayo 19:5-6Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuchelewa. Kuoa wake wengi ninaamini ni sawa kwa utamaduni wa mababu zangu na kwa dini zote za asili ya Abraham maana hakuna ilipozuiwa. Nitakuwa mwendawazimu sana nimezalizaliwa na mke wa pili kwa baba na kisha nimezeshwe dhana ya uongo tu na mchungaji au pastor kuwa mke wa pili ni kosa na hivyo nami nijione haramu bila hata kutafiti.
Moja, nimefanya utafiti nimegundua dini haizuii na mwanzo wa jambo hilo ni tamaduni ya Urumi (Roman Empire) ambapo wao utamaduni wao ulikuwa mke mmoja tu. Hivyo sioni haja ya kuamini utamaduni wa Kirumi na kuacha utamaduni wa mwafrika.
Pili, kama Mungu anaamini nyumba ndogo ni haramu asingeruhusu Yesu azaliwe katika uanadamu wake atokee nyumba ndogo.
Historia ya dunia hii nimejaribu sana kuisoma kila sehemu. Mwanzilishi wa jambo hili kuliweka kwenye sheria ya kirumi kabisa na kuhakikisha siyo utamaduni pekee bali sasa liko kwenye sheria ya kirumi dhama hizo anaitwa emperor Augustus! Na kwa msaada tu huyu ni mtoto wa emperor Julius Ceasar (mnaita Julius Kaisari).
Wakati mitume wa yesu wanakimbia Rome baada ya yesu kufa walikuta hii sheria ni kali sana, mke mmoja na mume mmoja. Na wakristo wanaanza kuuliza vipi hili mbona linakingana na torati mnasemaje? Soma kitabu cha Tito ambapo wanaorodheshwa ambao wamezuiwa kuoa zaidi ya mke mmoja. Tena kinasema kabisa kwamba "wafuatao wawe waume wa mke mmoja". Sasa wametajwa. Sisis katika hao waliotajwa hatumo, inakuwaje mchungaji atumezeshe hiyo imani tuikubali?
USHAURI WANGU
Nawashauri wanaume wenye uwezo wa kuoa mke mmoja wafanye hivyo mara moja kwani hakuna kifungu cha biblia hata kimoja kinachowazuia kufanya hivyo. Watu waoe mitala wazae na kuijaza dunia. Hili ndilo agizo la Mungu Baba Mwenyezi. Maagizo mengine yoyote ni ya wanadamu tu!
Weka ushahidi nduguMkuu hujasoma maandiko vizuri, huijui biblia na desturi za wayahudi!
Kwa taarifa yako mke wa kwanza wa Adam alikuwa Lilith, Eva ni mke wa pili baada ya Lilith.
Na pia Adam sio binadamu wa kwanza kuumbwa.
Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa kwa udongo shambani Eden.
Mathayo 19:5-6Jadda umeshaiona hii?
Mkuu hata mke wa pili, wa tatu na kadhalika kila mmoja wakati wa kutolewa ataachana na wazazi wake na kuungana na huyo mwanaume ambaye naye ataachana na wazazi wake.
Mkuu kwani ukiungana na mke wa kwanza mkawa mwili mmoja mwanaume unakuwa na vichwa viwili? au mikono minne?
Kanuni ya asili tu inakataa dume mmoja kuhudumia jike moja, tazama mazingira yaliyotuzunguka dume moja huhudumia majike mengi? Wanadamu ni wanyama iweje wawe tofauti?
Kwenye biblia maneno yaliyotoka kwa Mungu mubashara ni amri 10, hazikuzungumzia ndoa iwe ya wake wangapi na katika kauli za Yesu hakuna mahali alizungumzia ndoa iwe ya wake wangapi, hakuna!
Mitume wa Yesu walikuwa wayahudi, kwa mujibu wa desturi za wayahudi kwa wakati huo ndoa zao zilikuwa ni za wake wengi! Mitume wengi walikuwa na wake wengi!
Mungu aliwatumia manabii ambao wengi walikuwa na wake wengi mpaka na masuria! Mungu hakuona ni kosa!
Mkuu hilo fungu hata hujaliewewa kabisa Yaani hata kidgo Dhana ya mwili mmoja sio unavyofikiri kwamba eti kutakuwa na muunganiko w mwili dah literal bible reader mwingine dahWaefeso 5:31
Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”
Kwanini sio ataungana na wakeze? Kwanini iwe mkewe? Dhana ya mwili mmoja inaaply vipi watakapokuwa wanawake wengi?
Mathayo 19:5-6Nature hujieleza je kuna mwanamke anataka mke mwenza??
Mathayo 19:5-6Pamoja mkuu. Unajua hawa wanafuata vitu wasivyojua kwa nje ila ndani n wazinzi tu
Aisee Na mimi naona kabisa angekuja akanushe ningempa mafungu mawili aniambie yupi adam na yupi hawaAmekaririshwa na wachungaji wake wa mchongo