Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

Umeona eeh? Kwa hiyo ni maamuzi ya mtu mkuu. Ukiamua kuoa wengi ni sawa na ukiamua kuoa mmoja pia ni sawa. Hata ukiamua usioe kabisa ni sawa. Hutendi dhambi yoyote. Sasa kwanini wanatupangia tuoe mmoja huku wakijua katazo lao ni baseless?
Ukishaona ni sawa wewe fanya tu mkuu. Sheria za nchi hazikatazi, mambo ya rohoni ni wewe na muumba wako.
 
Mkuu hata mke wa pili, wa tatu na kadhalika kila mmoja wakati wa kutolewa ataachana na wazazi wake na kuungana na huyo mwanaume ambaye naye ataachana na wazazi wake.
Mke wa pili ataachana na wazazi wake, ila mume anayemuoa alishaachana na wazazi wake akaoa mke wa kwanza.
Mkuu kwani ukiungana na mke wa kwanza mkawa mwili mmoja mwanaume unakuwa na vichwa viwili? au mikono minne?
Concept ya mwili mmoja nadhani inamaanisha kuwa kitu kimoja katika maamuzi ya maisha yenu na sio mwili kama mwili.
Kanuni ya asili tu inakataa dume mmoja kuhudumia jike moja, tazama mazingira yaliyotuzunguka dume moja huhudumia majike mengi? Wanadamu ni wanyama iweje wawe tofauti?
Upo sawa ila Binadamu ana utashi, hawezi ishi kwa namna mnyama anavyoishi,wanyama wanapandana mama na mtoto, kwanini binadamu hafanyi hivyo?
Kwenye biblia maneno yaliyotoka kwa Mungu mubashara ni amri 10, hazikuzungumzia ndoa iwe ya wake wangapi na katika kauli za Yesu hakuna mahali alizungumzia ndoa iwe ya wake wangapi, hakuna!
Binafsi sioni tatizo iwapo roho yako ina amani ukiwa na wake wengi. Wakristo tunaamini roho mtakatifu anafanya kazi kupitia roho yako, kama una amani na hilo na hujisikii kama mkosaji unaweza tafuta utaratibu wako wa kuoa wake wengi.
Mitume wa Yesu walikuwa wayahudi, kwa mujibu wa desturi za wayahudi kwa wakati huo ndoa zao zilikuwa ni za wake wengi! Mitume wengi walikuwa na wake wengi!
Ni sawa ila pia mambo waliyofanya watu wa kale ni mengi, Elia alichinja wale mabaali baada ya kusadiki kuwa MUNGU wake ni MUNGU wa kweli, na leo watu wakisadiki wachinjwe?
Mungu aliwatumia manabii ambao wengi walikuwa na wake wengi mpaka na masuria! Mungu hakuona ni kosa!
Roho yako kama ina amani na hujioni mkosaji kuoa wake wengi we oa wake wengi mkuu. Masuala ya rohoni ni masuala binafsi sana. Ni mtu na MUNGU wake.

OA HATA 10, WAKE WENGI WANA RAHA YAKE. HUYU AKILETA GUBU UNAENDA KWA YULE ANAKUPIKIA UGALI MBOGA MBOGA NYAMA PILIPILI NA MAZIWA YA MGANDO.
 
Ukishaona ni sawa wewe fanya tu mkuu. Sheria za nchi hazikatazi, mambo ya rohoni ni wewe na muumba wako.
Kwanini sasa viongozi wa dini wanaharamisha ndoa za mitala kwa matakwa yao binafsi kinyume na amri za Mungu zinavyotaka?
 
Hivi mwanaume kwa akili ya kawaida tuu, tunafahamu wanawake ni wengi kushinda sisi wanaume , sasa unaanzaje kuwa na mwanamke mmoja na hao wengine ni nani atakaye waoa au kuwapiga mashine ili wazaze kwa uchungu.

Hapo ni nje ya maandiko tafakari tuu kikawaida kawaida .
 
Mke wa pili ataachana na wazazi wake, ila mume anayemuoa alishaachana na wazazi wake akaoa mke wa kwanza.

Concept ya mwili mmoja nadhani inamaanisha kuwa kitu kimoja katika maamuzi ya maisha yenu na sio mwili kama mwili.

Upo sawa ila Binadamu ana utashi, hawezi ishi kwa namna mnyama anavyoishi,wanyama wanapandana mama na mtoto, kwanini binadamu hafanyi hivyo?

Binafsi sioni tatizo iwapo roho yako ina amani ukiwa na wake wengi. Wakristo tunaamini roho mtakatifu anafanya kazi kupitia roho yako, kama una amani na hilo na hujisikii kama mkosaji unaweza tafuta utaratibu wako wa kuoa wake wengi.

Ni sawa ila pia mambo waliyofanya watu wa kale ni mengi, Elia alichinja wale mabaali baada ya kusadiki kuwa MUNGU wake ni MUNGU wa kweli, na leo watu wakisadiki wachinjwe?

Roho yako kama ina amani na hujioni mkosaji kuoa wake wengi we oa wake wengi mkuu. Masuala ya rohoni ni masuala binafsi sana. Ni mtu na MUNGU wake.

OA HATA 10, WAKE WENGI WANA RAHA YAKE. HUYU AKILETA GUBU UNAENDA KWA YULE ANAKUPIKIA UGALI MBOGA MBOGA NYAMA PILIPILI NA MAZIWA YA MGANDO.
Kama ni masuala binafsi mbona mtu akioa wake wengi anatengwa na kanisa (hasa kanisa katoliki)? Ubinafsi upo wapi hapo?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Kama ni masuala binafsi mbona mtu akioa wake wengi anatengwa na kanisa (hasa kanisa katoliki)? Ubinafsi upo wapi hapo?
Wewe ushasema MUNGU kakuruhusu sasa kanisa na MUNGU nani unamuabudu? We oa tu, kama MUNGU karuhusu utasali na wake zako na atasikia ibada yenu.

Tatizo ni watu kufanya ibada kwa ajili ya viongozi na watu waliopo makanisani. Hili ni tatizo kubwa kuliko hata ndoa.
 
Hivi mwanaume kwa akili ya kawaida tuu, tunafahamu wanawake ni wengi kushinda sisi wanaume , sasa unaanzaje kuwa na mwanamke mmoja na hao wengine ni nani atakaye waoa au kuwapiga mashine ili wazaze kwa uchungu.

Hapo ni nje ya maandiko tafakari tuu kikawaida kawaida .
Ndio maana hata mm nawashangaa hawa jamaa wanaong'ang'ania kuoa mke mmoja huku wakifahamu fika kwamba kila mwanamke ana haki ya kuolewa na kuzalishwa. Wapuuzi sana aisee!
 
Mkuu hujasoma maandiko vizuri, huijui biblia na desturi za wayahudi!

Kwa taarifa yako mke wa kwanza wa Adam alikuwa Lilith, Eva ni mke wa pili baada ya Lilith.

Na pia Adam sio binadamu wa kwanza kuumbwa.

Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa kwa ,udongo shambani Eden.
Lete aya
 
Biblia na Quran kimsingi havibebi maagizo ya Mungu ni mkusanyiko wa simulizi za maisha na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati. Ni kiherehere kwa mmanyema, mmatumbi, msukuma kufuatatilia maagizo waliyokuwa wanapewa walawi, waadikayo, watu wa gaza nk. Jiulize inakuwaje kila stori ihusu hayo maeneo je ina maana Mungu hakujua kabisa kama Iringa, Burma, vanuatu, namtumbo kuna watu?
 
Sijawahi kuwa muumini wa suala la ndoa ya mke mmoja,huo ni utamaduni wa warumi,na wala sio sheria bali ni maoni tu.

Oa wanawake kadri uwezavyo,chamsingi tunza na kulea familia zako kwa upendo usawa na haki.
Sasa mfano nikitaka kuoa mke wa pili ndoa tutafungia wapi ikiwa kanisani hawataki?
 
Biblia na Quran kimsingi havibebi maagizo ya Mungu ni mkusanyiko wa simulizi za maisha na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati. Ni kiherehere kwa mmanyema, mmatumbi, msukuma kufuatatilia maagizo waliyokuwa wanapewa walawi, waadikayo, watu wa gaza nk. Jiulize inakuwaje kila stori ihusu hayo maeneo je ina maana Mungu hakujua kabisa kama Iringa, Burma, vanuatu, namtumbo kuna watu?
Ww nae unayumba, injili maana yake ni habari njema Kwa watu wote, sio Kwa wayahudi au wagalilaya!
 
Naungana na Mleta mada, Mimi ni mKristo lakini katika BIBLIA TAKATIFU kuanzia Mwanzo 1:1 Hadi Ufunuo 22:21 hakuna mahali kuwa ni Sheria kuoa mke mmoja.

Nabii Musa mwenyewe alikuwa na wake wawili, mke mmoja ni mambo ya Sheria za kibinadamu sawa na kuzuia viongozi wasioe...
Adam alikuwa navwanawake wangapi?
 
Kwa hiyo sheria ilitaka tuwe na wake wangapi?
Wewe ungependa kuoa wake wangapi?

Note:
Andiko la Tito umelitumia vibaya, umeshindwa kuelewa context. Suala la maaskofu kutakiwa kuwa na sifa ya kuoa mke mmoja lililenga kuwazuia watu ambao kabla ya kuwa wakristo walikuwa na wake wengi (na kwa kuwa ukristo usingeweza kufuta historia zao za nyuma za kuoa) basi kanuni ya kupewa uaskofu ikawazuia ili kulinda heshima ya kanisa machoni pa watu.
Kwahyo kuwa na mke mmoja ndo heshima?
 
Biblia na Quran kimsingi havibebi maagizo ya Mungu ni mkusanyiko wa simulizi za maisha na utamaduni wa watu wa mashariki ya kati. Ni kiherehere kwa mmanyema, mmatumbi, msukuma kufuatatilia maagizo waliyokuwa wanapewa walawi, waadikayo, watu wa gaza nk. Jiulize inakuwaje kila stori ihusu hayo maeneo je ina maana Mungu hakujua kabisa kama Iringa, Burma, vanuatu, namtumbo kuna watu?
Critical thinking. Mapadre, maaskofu na wachungaji wanatupiga sana aisee!
 
Qur'an 5:74.
Je! Hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na wakamwomba msamaha? Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu. 74

75. Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa. 75

76. Sema: Je! Mnawaabudu, badala ya Mwenyezi Mungu, wale ambao hawawezi kukudhuruni wala kukufaeni? Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 76
 
Adam alikuwa navwanawake wangapi?
Mfano wako hausadifu hoja ilyopo mezani. Kwani Adamu alifunga ndoa? Alifungushwa na mchungaji/padre yupi?
 
Qur'an 5:74.
Je! Hawatubu kwa Mwenyezi Mungu na wakamwomba msamaha? Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu. 74

75. Masihi mwana wa Maryam si chochote ila ni Mtume. Wamekwisha pita Mitume kabla yake. Na mama yake ni mwanamke mkweli. Wote wawili walikuwa wakila chakula. Angalia jinsi tunavyo wabainishia Aya, kisha angalia vipi wanavyo geuzwa. 75

76. Sema: Je! Mnawaabudu, badala ya Mwenyezi Mungu, wale ambao hawawezi kukudhuruni wala kukufaeni? Na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kusikia, Mwenye kujua. 76
Shikamoo bi mkubwa! Hizi aya umezinakili kutoka wapi?
 
Back
Top Bottom