Ndoa ya nitonye na sweetylady imevunjika rasmi

mda huu nipo na sweetlady tunapanga kurusha thread yetu tupo Manyara National Park, tukitola hapa tunaungana na wenzetu baadhi kutembelea vituo vya kulea watoto waishio katika mazingira magumu.
Usianze kumwaga mchele! Jioni irushe wajionee wenyewe lol.
 
Last edited by a moderator:
ndoa nazo zina expiring date jaman basi ikifika tunaitupa kwenye dustbin kwan kuna tatizo????
Mi naona sawa tuu afterall my sis sweetlady bado hot n sex n above all beautiful sasa kwanin ang'ang'anie zamadamu
 
Hajalisha kitu coz nimechanjwa mimi hakuna cha kunidhuru mie

Shemeji kumbe roho na sura yako viko saresare. Hapo na uhandsome huo ukiongezea na machale, mhhh! Hongera kwa maamuzi magumu mwaya.
 
Shemeji kumbe roho na sura yako viko saresare. Hapo na uhandsome huo ukiongezea na machale, mhhh! Hongera kwa maamuzi magumu mwaya.

we acha tu si unajua ukishalitua zigo mambo mengi yanaibuka
 
nitonye unajuaje mtoto ni wako huyo kapime kwanza Dna aise
 
Last edited by a moderator:
ndoa nazo zina expiring date jaman basi ikifika tunaitupa kwenye dustbin kwan kuna tatizo????
Mi naona sawa tuu afterall my sis sweetlady bado hot n sex n above all beautiful sasa kwanin ang'ang'anie zamadamu
Hahahahaha! Mwaaaa! Mwaaaa! Mwaaaa! Nothing to add lol.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…